EA is more Arab than African

This is more than fun. hell! what does it mean,yeah am asking what does it mean? The history what is the connection? Does it mean we are useless in urguing that this is Africa? Kuna waswahili wengi sana ASIA je wao ni wahindi waarabu wachina na huko ni uswahilini. I dont get it/Somebody is f''''''king my head and i dont like it

What dont you get and this thing is in black and white? we have aped lot of Arab culture that we are more Arab than africans.. BTW which drug are you taking.. PCP or Mushrooms?
 
Hata kama sisi siyo watu wa vitendo, kuna watu wa kujifunza kutoka kwao lakini siyo Wakenya. Tabia za Kikenya kenya, kiwiwizi na kikabila kabila na zisifike hapa Tanzania, kwa wale wanaowa-admire, hawajatembea na hawawajui. NGO/ Amani Forums wamepanga kunadamana dhidi ya maamuzi ya ovyo, woga wa bunge kuchukulia hatua mafisadi lakini serikali inaogopa na inajaribu kuyazima, soma Tanzania Daima ya leo. Halafu,Kiswahili is more Bantu than arabic, kwa wale wasiojua kama Smatta. Mkenya kama Smatta atajuaje Kiswahili kuliko Mtanzania? Upo hapo bro?

Bro Kanyabwoya.
Well discourse to kabuche1977. Hajui wapi pa kujifunza and I'm worrying if he has been in that land. The country is smelling. That is why they badly fight to disguise the name under eac.
 
Whats up Eli, you are back, mhindi amekubali utumie internet yake for your own personal pleasure ha, welcome on board.
 
Whats up Eli, you are back, mhindi amekubali utumie internet yake for your own personal pleasure ha, welcome on board.
Teh, teh, teh.
Thanx smatta, nina kazi nyingi sana, nashughulikia pd yangu hivyo sitaonekana sana hapa jukwaani. but for setting the records clear utaniona.
I remain.
eliakeem.
 
Teh, teh, teh.
Thanx smatta, nina kazi nyingi sana, nashughulikia pd yangu hivyo sitaonekana sana hapa jukwaani. but for setting the records clear utaniona.
I remain.
eliakeem.

You should be dropping by and giving us some comic releif, siunajua wengine wetu tumeifanya JF makao yetu ya pili.. enjoy your day homes.
 
You should be dropping by and giving us some comic releif, siunajua wengine wetu tumeifanya JF makao yetu ya pili.. enjoy your day homes.

Ok, I'll be popping up sometimes kunyoosha mambo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom