Unajua kwa nini TTCL inachemka? Ila kama hujui ile Airtel nayo ilijengwa juu ya TTCL,sababu ni hizi hizi ten percent,leo mnawaona hawana maana.View attachment 2887263
sio kitu cha kushangaza
Siasa zipi? TTCL ipo incompetent hilo liko wazi. Hivi kampuni ina wateja active laki 1 katika industry ya watu Million 24+??Siasa ndio inazikwanisha taasisi nyingi za kiserikali. Sasa kama TTCL wabovu why Staff wao ni Lulu kwenye hizo taasisi binafsi?
Ushajiuliza why,ipo incompetent?Siasa zipi? TTCL ipo incompetent hilo liko wazi. Hivi kampuni ina wateja active laki 1 katika industry ya watu Million 24+??
Huko hakuna KPIs, hamna mtu yuko under pressure maana mshahara uko pale pale akizalisha au asipozalisha.
Badilisheni mfumo wa kuendesha taasisi za serikali ikiwezekana wasiajiri mtu ila waweke performance based bonuses na commissions ndio utaona mabadiliko ila hii ya kwamba mtu aki underperform hana la kufanywa haliwezi kutufikisha popote.
duuNilikuwa sehemu nyingi TTCL ni sehemu mojawapo.
Vp ushagoogle na IP nyingine kujua ni za nani?
Au still unaendelea kubisha?
Cha muhimu ifanye kazi 😂Nyie bishaneni , wekeni ligi ila msisahau kupita hapa
Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii...www.jamiiforums.com
Nyie bishaneni , wekeni ligi ila msisahau kupita hapa
Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii...www.jamiiforums.com
umeeleza vyema sanaDuniani kote kuna vita za aina tatu.
1.Hizi za mitutu.
2.Za kiuchumi.
3.Cyber War.
Kwa dunia ya sasa ukitaka kushinda vita ya kwanza na ya pili, basi hii ya tatu uwe vizuri. Sababu ukiwa vizuri kwenye Cyber War ni rahisi kupata taarifa za adui yako na siku hizi Serikali zote duniani IT ndio inaendesha shughuli zao.
Duniani kote hamna Serikali inayo hifadhi mifumo yake yenye taarifa na critical data kwa mtu wasiye mjua,mazingira wasiyo yajua,mtu wasiye mfanyia vetting na vetting kwa watu wanao develop na kuihifahi hii mifumo huwa endelevu mara kwa mara, ili kujirizisha.
Huwezi linganisha siri za Serikali na taasisi binafsi, kwani serikali inabeba maslahi ya taifa lote ila taasisi binafsi ni wao kama wao. Ndio maana kuna baadhi ya serikali ukivujisha siri wapo tayari hata kuua ili taifa libaki salama.
Mimi kuna taasisi naijui private na taasisi kubwa sana 2019 na walipgwa na Ramsomware, walilipa hela ndefu na kuizima hii issues kimya kimya?
Au ushajiuliza kwa nini Cyber attack kwenye hizi taasisi za kifedha hazilipotiwi? na wanapigwa mara nyingi ila huwezi sikia ila sisi huku tunajua.
hii kasumba ilikua ya zamani ,mbona e-GA wanafanya kazi vizuri sana, mimi sielewi wanaoponda e-GA wanatumia mifano ipo , project zipi zimechelewa na zilitakiwa zitumie muda gani.Kifupi huo mradi wangepewa wafanyakazi wa serikali ngechukua miaka 30 kukamilika
Wafanyakazi wa serikali speed kwao ni kitu ambacho hakipo kwao Ingekuwa amri yangu ningeamuru Hadi serikali yote ibinafsishwe wako goigoi mambo kibao
Mtu aje hapa aseme ni ofisi Gani ya serikali Ina speed kwenye utendaji kazi ukilinganisha na sekta binafsi? Huo mradi ungefanywa na serikali vikao visivyoisha vingeanza,kukipana maposho kibao mara ohh semina kujifunza nchi waliofanya miposho kibao Kisha ohh study tour mradi tu mtu amalize ghorofa lake
Mleta mada fisadi mkubwa akitaka anawinda miposho tu
Sekta binafsi Siri ni biashara wanalinda ndio zinawapa kula ndio maana mifumo iliyojengwa na sekta binafsi sio rahisi kuchezea kama iliyojengwa na wafanyakazi wa ndani wa serikali
NMB Wana wafanyakazi wenye uzoefu wa kimataifa wa mifumo huwezi linganisha na Hao wa serikali
Pili mfumo ukiwa compromised wao waweza lipa fidia wakijenga wa serikali kukitokea shida mfanyakazi wa serikali aweza lipa fidia ya billions?
kuna watu hawaelewi majukumu ya taasisi,wao wakiona kila jambo wanahisi ni jukumu la kila taasisi.Brother kaeni kimya vitu vingine ni kujipa aibu, Registrar sio creator wa mfumo
Hapo Registar ni msajili wa hiyo domain katika DNS zake, ili hiyo domain ambayo inamfumo ipatikane hewani.
Wewe unaweza ukawa Registar domain za mifumo ya taasisi mbali mbali binafsi na serikali na ukawa sio mtengenezaji wa huo mfumo.
Vitu vingine kama hamvijui kaeni kimya mnajidhalilisha. Halafu DNS ni basic ya IT yoyote anatakiwa kuijua.
Yaani daaaaahhhhh,halafu unakomaa kabisa kwa kitu husicho kijua na hicho ulicho kifanya hackers wanakitumia wanapo kusanya taarifa kabla ya kuattack.
sasa kutumia email watu wa e-GA ndiyo imekua na wewe mtu wa mfumo?Home Work.
Hivi kitu gani kina tambulisha huo mfumo Registrar wake fulani, ila umekuwa hosted na mtu mwengine.
viko vitu vingi however sio lazima DNS records ziseme ni nani anahost, most modern apps znnakua na layer 2! kwa mfano for a normal platform its very risky kuexpose connection yako moja kwa moja kwa client so wanaogeza layer ingine most common ones ni kama CLOUDFLARE so ukiiangalia records zake utaona cloudflare but hio app haiko hosted apo
but overalll nshakwambia NECTA wanatumia EGA because i have been there, although sjawahi work na necta but i have seen it na mifumo yote ya serikali ipo pale!
View attachment 2887243
huu ni mfano tu wa project tuliofanya ya serikali ambayo iko hosted EGA, so usijifanye unaelezea sana kama unaijua EGA vizuri
wanasiasa wameifanya TTCL iwe kilema ,same mistake wanataka kufanya kwa e-GA , wanataka e-GA iwe kama TTCL, isiweze kufanya kazi kabisaUnajua kwa nini TTCL inachemka? Ila kama hujui ile Airtel nayo ilijengwa juu ya TTCL,sababu ni hizi hizi ten percent,leo mnawaona hawana maana.
Siasa ndio inazikwanisha taasisi nyingi za kiserikali. Sasa kama TTCL wabovu why Staff wao ni Lulu kwenye hizo taasisi binafsi? Wakati wao ni wabovu,tokea lini taasisi mbovu ikatoa mastaff wenye uwezo mkubwa.
Umesikia habari ya TTCL sababu ni taasisi ya uma una haki ya kupata taarifa.Hivi ushajiuliza why husikii ubovu wa NMB,CRDB.....? Ila sisi tuliopo tunaona tunajua tunavyo viona na ndio maana hatupendi taarifa nyeti za serikali ziwe chini ya hizi sekta binafsi,hasa zenye wafanyakazi wa nje. Ila tunajua wanyo pigwa na Ramsomware Attack kila kukicha, sababu kama wakitoa ripoti zao za audit,kesho asubuhi watu wanapanga foleni kutoa hela zao.
Bi Mkubwa simlaumu sasa namuombea wanao mzunguka wamshauri vizuri.
kwan nyie mmekuja kubishana ama mnataka ukweli wa taasisi?sasa kutumia email watu wa e-GA ndiyo imekua na wewe mtu wa mfumo?
utakua unavyeti fake wewe jamaa
sasa kutumia email watu wa e-GA ndiyo imekua na wewe mtu wa mfumo?
utakua unavyeti fake wewe jamaa
TTCL imeangushwa kwa siasa ,kama mnazozijenga kwa e-GA ,non tech people wanaingilia tech issues , wanalazimisha kampuni isiyo na uwezo wa kutengeneza mifumo ,kampuni ambayo kazi yake banking mnaipa kutengeneza mifumo ,matokeo yake ni hayo,mnaua taasisi za umma ili muinue taasisi binafsi na mpige hela .Siasa zipi? TTCL ipo incompetent hilo liko wazi. Hivi kampuni ina wateja active laki 1 katika industry ya watu Million 24+??
Huko hakuna KPIs, hamna mtu yuko under pressure maana mshahara uko pale pale akizalisha au asipozalisha.
Badilisheni mfumo wa kuendesha taasisi za serikali ikiwezekana wasiajiri mtu ila waweke performance based bonuses na commissions ndio utaona mabadiliko ila hii ya kwamba mtu aki underperform hana la kufanywa haliwezi kutufikisha popote.
TTCL imeangushwa kwa siasa ,kama mnazozijenga kwa e-GA ,non tech people wanaingilia tech issues , wanalazimisha kampuni isiyo na uwezo wa kutengeneza mifumo ,kampuni ambayo kazi yake banking mnaipa kutengeneza mifumo ,matokeo yake ni hayo,mnaua taasisi za umma ili muinue taasisi binafsi na mpige hela .
Mnaaibisha sana ,na nyie ndio mnafanya serikalin kuonekane watu zero brain
Si mngetafuta hata kampuni yeyote ya kutengeneza software ili ijulikane kabisa mnataka e-GA asitengeneze mifumo.
Yaani unaona sawa kabisa bank kupewa tender ya kutengeneza software?
Rushwa hupofusha