Mi nimeishia katikati ngoja niulize, je nikinunua kitu kama domain, vocha za pd proxy (software ni bure nanunua service) au nikanunua emoticon packs za instant messaging service je sipo kwenye group la ecommerce?
Maana naona havipo kwenye kwenye maswali, sana sana imebase kwenye physical things.