fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,286 Reaction score 8,561 Nov 7, 2024 #1 Kila nikijaribu kulipia mange app kwa e card inakataa,nimewauliza voda wenyewe hawajibu,kama kuna mdau humu anaweza kunipa ufumbuzi nitashukuru
Kila nikijaribu kulipia mange app kwa e card inakataa,nimewauliza voda wenyewe hawajibu,kama kuna mdau humu anaweza kunipa ufumbuzi nitashukuru
kimara Kimara Senior Member Joined Jul 7, 2024 Posts 138 Reaction score 279 Nov 7, 2024 #2 Ngoja wambea wenzako waje
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,838 Nov 7, 2024 #3 fimboyaukwaju said: Kila nikijaribu kulipia mange app kwa e card inakataa,nimewauliza voda wenyewe hawajibu,kama kuna mdau humu anaweza kunipa ufumbuzi nitashukuru Click to expand... Aisee hiyo pesa kawape masikini Mungu atakubariki
fimboyaukwaju said: Kila nikijaribu kulipia mange app kwa e card inakataa,nimewauliza voda wenyewe hawajibu,kama kuna mdau humu anaweza kunipa ufumbuzi nitashukuru Click to expand... Aisee hiyo pesa kawape masikini Mungu atakubariki
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,142 Reaction score 24,437 Nov 7, 2024 #4 fimboyaukwaju said: Kila nikijaribu kulipia mange app kwa e card inakataa,nimewauliza voda wenyewe hawajibu,kama kuna mdau humu anaweza kunipa ufumbuzi nitashukuru Click to expand... Ungemuuliza mange ingekuwa busara zaidi!
fimboyaukwaju said: Kila nikijaribu kulipia mange app kwa e card inakataa,nimewauliza voda wenyewe hawajibu,kama kuna mdau humu anaweza kunipa ufumbuzi nitashukuru Click to expand... Ungemuuliza mange ingekuwa busara zaidi!
C Chumvi yao JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,578 Reaction score 5,549 Nov 7, 2024 #5 Ukoje wewe popoma
Mshangazi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,142 Reaction score 4,515 Nov 7, 2024 #6 Mange kafungiwa
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,703 Reaction score 38,005 Nov 7, 2024 #7 kweli na akili yako unasoma madudu ya Mange? Sijaongea kwanza kuhusu kulipia, nimeanza na kusoma kwanza, kulipia tutajadili baadae
kweli na akili yako unasoma madudu ya Mange? Sijaongea kwanza kuhusu kulipia, nimeanza na kusoma kwanza, kulipia tutajadili baadae
Doctor MD JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 242 Reaction score 307 Nov 7, 2024 #8 Vijana kama Hawa wanamchango mdogo sana kwa taifa
Satoshi Nakamoto Senior Member Joined May 28, 2017 Posts 110 Reaction score 466 Nov 7, 2024 #9 Ukute wewe ndiye Mange mwenyewe umekuja hapa kufanya promo, lipia hilo tangazo chap!! Mdada wa hovyo!
Ukute wewe ndiye Mange mwenyewe umekuja hapa kufanya promo, lipia hilo tangazo chap!! Mdada wa hovyo!
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 50,961 Reaction score 92,359 Nov 7, 2024 #10 Kwani mkuu unataka uongeze ujuzi zaidi kwenye fani yako ya ujinga kupitia app ya Mange?Nakutakia heri.
Kwani mkuu unataka uongeze ujuzi zaidi kwenye fani yako ya ujinga kupitia app ya Mange?Nakutakia heri.
Gulio Tanzania JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,383 Reaction score 7,973 Nov 7, 2024 #11 Hili taifa nyie ndio mnaofanya taifa lionekane Lina wapumbavu
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,286 Reaction score 8,561 Nov 7, 2024 Thread starter #12 kipara kipya said: Ungemuuliza mange ingekuwa busara zaidi! Click to expand... ok
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,286 Reaction score 8,561 Nov 7, 2024 Thread starter #13 ras jeff kapita said: Aisee hiyo pesa kawape masikini Mungu atakubariki Click to expand... asante
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,286 Reaction score 8,561 Nov 7, 2024 Thread starter #14 uttoh2002 said: kweli na akili yako unasoma madudu ya Mange? Sijaongea kwanza kuhusu kulipia, nimeanza na kusoma kwanza, kulipia tutajadili baadae Click to expand... heshimu uhuru wa mwenzio kuchagua kitu apendacho
uttoh2002 said: kweli na akili yako unasoma madudu ya Mange? Sijaongea kwanza kuhusu kulipia, nimeanza na kusoma kwanza, kulipia tutajadili baadae Click to expand... heshimu uhuru wa mwenzio kuchagua kitu apendacho
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,286 Reaction score 8,561 Nov 7, 2024 Thread starter #15 Moisemusajiografii said: Kwani mkuu unataka uongeze ujuzi zaidi kwenye fani yako ya ujinga kupitia app ya Mange?Nakutakia heri. Click to expand... ujinga kama ulivyo wako,ni muhimu kwenye maisha
Moisemusajiografii said: Kwani mkuu unataka uongeze ujuzi zaidi kwenye fani yako ya ujinga kupitia app ya Mange?Nakutakia heri. Click to expand... ujinga kama ulivyo wako,ni muhimu kwenye maisha
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,286 Reaction score 8,561 Nov 7, 2024 Thread starter #16 Gulio Tanzania said: Hili taifa nyie ndio mnaofanya taifa lionekane Lina wapumbavu Click to expand... shida yako ukibanwa kujamba,hujambi
Gulio Tanzania said: Hili taifa nyie ndio mnaofanya taifa lionekane Lina wapumbavu Click to expand... shida yako ukibanwa kujamba,hujambi
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,286 Reaction score 8,561 Nov 7, 2024 Thread starter #17 Mshangazi said: Mange kafungiwa Click to expand... ok nadhani ndio maana nashindwa kulipa
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 50,961 Reaction score 92,359 Nov 7, 2024 #18 fimboyaukwaju said: ujinga kama ulivyo wako,ni muhimu kwenye maisha Click to expand... Upo vizuri sana.
fimboyaukwaju said: ujinga kama ulivyo wako,ni muhimu kwenye maisha Click to expand... Upo vizuri sana.
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,703 Reaction score 38,005 Nov 7, 2024 #19 fimboyaukwaju said: heshimu uhuru wa mwenzio kuchagua kitu apendacho Click to expand... Kuna mwingine umezidi? Unataka niheshimu uhuru unaohusiana na uraibu wa umbea?
fimboyaukwaju said: heshimu uhuru wa mwenzio kuchagua kitu apendacho Click to expand... Kuna mwingine umezidi? Unataka niheshimu uhuru unaohusiana na uraibu wa umbea?
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,615 Reaction score 81,118 Nov 7, 2024 #20 fimboyaukwaju said: Kila nikijaribu kulipia mange app kwa e card inakataa,nimewauliza voda wenyewe hawajibu,kama kuna mdau humu anaweza kunipa ufumbuzi nitashukuru Click to expand... Tumia ya tigo
fimboyaukwaju said: Kila nikijaribu kulipia mange app kwa e card inakataa,nimewauliza voda wenyewe hawajibu,kama kuna mdau humu anaweza kunipa ufumbuzi nitashukuru Click to expand... Tumia ya tigo