Dxb

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,232
113,610
Security kwenye hii airport iko lax sana. Hao jamaa wanaokaa kwenye security checkpoints sijui niseme ni wazembe au hawajali...?

They don't do shit. Yaani wanakaa kwa mbali wanakuangalia unatoa mkanda na vilivyomo mfukoni. Mbona airports zingine kama Hartsfield-Jackson, Kennedy, na Schiphol security iko tight sana.

DXB nahisi inaweza kuwa ni gateway kubwa ya drug trafficking kulingana na nilichoona.
 
Back
Top Bottom