Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
View: https://youtu.be/eYqrDjwkZ1E?si=IAwIBaBwF_ZH9Mes
Redio DW ya Ujerumani leo mchana imeutangazia ulimwengu kwamba hali ya siasa Tanzania ni mbaya sana.
Akifanyiwa mahojiano mwanasheria na mchambuzi wa siasa Jenerali Ulimwengu amesema hali hiyo imechochewa na kufunguliwa kwa mashitaka ya uhaini mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu.
Ameongeza chaguzi zilizofanyika 2019, 2020, 2024 na huu wa 2025 hauna tofauti na enzi za ukoloni kwani mshindi anakuwa ameshajulikana.