DVD RW drive is missing on my computer

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2008
Posts
870
Reaction score
170
Habari zenu wadau. Nina tatizo na laptop yangu aina ya compaq presario F700 refurbished to F750US yenye windows 7, 32-bit os, 2.4gb ram, amd athlon (tm) 64 x2 dual-core processsor tk-57 1.90ghz.
Nikifungua my computer sioni DVD RW drive. Mlango wa dvd rom unafunguka na ile taa ya kijani inawaka kama kawa.

Historia ya tatizo:

Mwaka 2009 ilikuwa na tatizo kama hilo. Tatizo hilo lilisababishwa na ku-install na ku-unistall Daemon tools software. Nikabadili mlango (dvd rom), mambo yakawa poa.
Mwishoni mwa mwezi juni 2013 limerud tena. Safari hii limesababisha na airtel modem. Nilipoweka airtel modem,
ika-replace dvd/cd rom drive na ku-display cd drive: airtel modem. Nimebadili dvd rom lakini bado mambo ni magumu.
Nimepita mtandaoni kutafuta ufumbuzi lakini naona maisha yanakuwa magumu.
Naomba mwenye njia tofauti na hii hapa chini anipe ili niweze kuitumia. Njia hii hapa chini na nyingine zinazofanana na hizo, nimezitumia, lakini hazikuleta ufumbuzi, ndo maana nataka njia tofauti.
Nilipita hapa na kwengineko kunakofanana hapa.


[FIX] Optical Drives (CD/DVD) Icon Not Showing in My Computer Window - Tweaking with Vishal
Fix problems with CD or DVD drives that can


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…