DVD inayocheza external hdd

DVD inayocheza external hdd

franswamj

Member
Joined
May 23, 2014
Posts
96
Reaction score
11
Wanajamvi naomba msaada wapi ntapata DVD yenye kuplay external HDD
 
Wanajamvi naomba msaada wapi ntapata DVD yenye kuplay external HDD

Swali tata hili? DVD ni nini na HDD ni nini?
Je, una maanisha " Digital Versatile/Video
Disc yaani, DVD na Hard Drive Disc yaani, HDD?
 
Naona unamaanisha DVD deck yenye uwezo wa kucheza external storage. Kwa kweli tafuta Blu-ray player. Hususan zile za Sony. Bei ni za kawaida tu. Zinacheza Blu-ray, DVD, CD na External zenye ukubwa wa hadi 4TB.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom