Huyu Mama alifanya hivi makusudi. Yeye huweka picha zake akiwa na birthday suit yake mtandaoni hii alikuwa anapigwa picha nyingi tu mtaani akiwa anaonyesha kwamba hakuwa na kufuli.
Siku hizi umeingia mtindo wa kwenda kwenye supermarkets kubwa hasa nyakati ambazo hakuna watu wengi bila ya kuwa na kufuli na kupigwa picha za kuonyesha nanihii na matiti pia halafu kuziweka picha hizo mtandaoni. Kinachonishangaza wengine wanaofanya hivyo ni mke na mume.