Duuu haya mambo ni kweli?

Kweli kuongoza watu kugumu. Karipio nalo linachokozwa! Halafu vitaru ndio nini
 
Photoshop ukiangalia rangi ya hiyo paragraph haifanani na zingine
 
Mtagangaika sana mwaka huu na mipolisi yenu huyo aliefanya hivyo hatatafutwa ila aliesema mwamunyange kawekewa sumu yuko mahakamani tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…