Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 148
- 259
Kwani wivu unapangwa kwa mafungu kama njugu na kubandikwa lable?Hello! jf members,
Je, ni sahihi kuwa na wivu kwa mpenzi wako akizungumza au kuchart na mtu mwingine ingali kuwa bado hujamuoa?
kuna jamaa sasa alimpiga demu kisa amemkuta anaongea na mtu mwingineHujaoa, Unaanzaje kuwa na wivu.!?
Wivu unaanza kuwa na mashiko Baada tu ya mkataba mbali na hapo kaa mbali na dada zako kijana
Huyo alivuka mpaka na huo siyo wivu bali ni unyanyasaji. Alijua wanaongea nini? Na hata kama walikuwa wanaongea mambo ya mapenzi, asingempiga. Kitu ambacho watu wanatakiwa kujua ni kwamba kumpiga mwenza wako siyo wivu bali ni unyanyasaji. BTW huyo aliyepigwa ''ana bahati sana'' kwa sababu ameshajua kama akiolewa na jamaa hataishi kwa amani. Akimbie haraka sana... Siku akiwa mke wake basi atamchinja kama kuku.kuna jamaa sasa alimpiga demu kisa amemkuta anaongea na mtu mwingine
Kamwabie rafiki yako yeye ni maiti inayotembeakuna jamaa sasa alimpiga demu kisa amemkuta anaongea na mtu mwingine
Eeeh si tupo kundi moja.Umri, malezi, ajira na kujitambua.. Hivi vitu vikivurugana tu lazima tupate uzi usio na maana.
hujui, we si matured kabisa?Kwani shule zimefungwa tena?
Anyway.. Usisahau kumaliza home work..Eeeh si tupo kundi moja.
Nimecheka saana aiseeeKwani shule zimefungwa tena?
Mimi kwa kuwa sipendi mambo ya kijinga niliamua kutafuta mshangazi, hawanaga mambo ya kipuuzi kama hayo.Hapana usione wivu, unapaswa ujiue ili kuonyesha hujafurahishwa na tabia hizo.
Mkiwa na mahusiano na mtu ambaye ana ujana ndani yake, lazima kichwa kiumeMimi kwa kuwa sipendi mambo ya kijinga niliamua kutafuta mshangazi, hawanaga mambo ya kipuuzi kama hayo.
Sana ni lazima utameza piliton bila kupenda.Mkiwa na mahusiano na mtu ambaye ana ujana ndani yake, lazima kichwa kiume