Pamoja na hayo, pia kuna suala la credibility.Mag3,
Tatizo lililopo ni Kwamba Mwenyekiti wa Hilo bunge haweki maslahi ya taifa Mbele Bali maslahi binafsi ya posho na ya urais 2015. Kwa mfano, kwa Mujibu wa vyanzo vya uhakika, posho ya Sitta kwa siku 84 za bunge la katiba zitakuwa jumla ya shillingi milioni 150. Je unatarajia nini kwa kiongozi ambae Ana rekodi ya kujenga ofisi ndogo ya uspika jimboni kwake kwa gharama za walipa kodi shillingi milioni 500, ofisi ambayo sio Anna Makinda Wala maspika wajao wataitumia?
Sitta anaishi kwenye nyumba oysterbay inayogharamiwa na walipa kodi zaidi ya shillingi milioni kumi kwa mwezi Kama kodi, nyumba ambayo ilitakiwa ampishe spika Makinda lakini akagoma, sasa tutarajie nini kwa kiongozi wa aina hii Huko Dodoma ambako posho Ndio habari ya Mjini?
Pia tunajua uzoefu wake wa siasa za ubabe na kupinda mambo, mfano alivyowasha na kuzima hoja ya Richmond bungeni pre maturely. Majuzi ametishia ITV kwa sababu inasimamia upande wa wananchi. Anasahau Kwamba Wakati wa Sakata lake na the so called mafisadi, hakuna media org iliyompa air time Kama itv, kuanzia kipindi cha Dakika 45 hadi Sakata la mwakyembe kulishwa sumu.
Leo Sitta anaenda Mbali na kuamuru masuala ya Tanzania bara yaingizwe kwenye katiba ya muungano ili kuua hoja ya tanganyika. Kuna taarifa Kwamba anapita Kamati hadi Kamati na kuamuru nini cha kuwekwa. Kiongozi wa aina hii hatufai, ataipasua nchi vipande vipande kwani ameonyesha wazi Kwamba:
1. Hajali matakwa ya wananchi.
2. Hajali Sheria - amekiuka Sheria ya mabadiliko ya katiba (2011).
3. Hana hulka ya kuheshimu katiba ya nchi.
4. Mkandamizaji wa vyombo vya habari.
5. Hana nia ya Dhati ya kupambana na ufisadi na ubadhirifu wa Mali ya umma kwani Mbali ya Mifano hai hapo juu, pia amebariki ubadhirifu wa kulipana posho bungeni Katika suala ambalo mwisho wake tayari unajulikana - katiba ya wananchi haitopatikana.
Mamlaka ya mchakato husika yapo mikononi kwa wananchi kwa Mujibu wa Sheria ya mabadiliko ya katiba(2011), mamlaka ambayo Sitta Ameamua kuyapora. Huu ni uhalifu Kama aina nyingine zote za uhalifu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Matumaini yao ni kulinda muungano kwa kutumia FFU, kukamata watu na kuwasingizia makosa.Mchambuzi;10317077]Nguruvi3,Iwapo CCM itafanikiwa kuleta serikali Mbili zilizoboreshwa, hii itakuwa ni kwa faida ya Zanzibar na kwa hasara ya Tanganyika. Hali hii itapelekea wananchi wa Tanzania bara kudai Tanganyika kwa Nguvu Kama alivyoeleza professor Kabudi. Kwa maana nyingine, jinsi CCM inavyoZidi kuboresha serikali Mbili ndivyo jinsi watanzania bara wanavyozidi kukosa Haki zao za kisiasa, kijamii, na kiuchumi (political, social and economic justice) ambazo zitakuja leta vurugu na vita. Kwahiyo serikali Mbili zilizoboreshwa ni "timing bomb" ambalo ni wajibu wa ukawa kuwaelezea wananchi Kwamba wajibu wa kulitegua ni wananchi wenyewe.
Labda nitoe mfano hai kwa hoja yako hii. Leo wazanzibar wapo Dodoma wanajadili ufugaji. Hivi hili linawahusu nini tukijua kuwa mzanzibar anaogopa hata kumshika ng'ombe. Leo wanajadili mambo ya Monduli ili iweje.chambuzi;10317077] Wananchi wengi wa upande wa bara Hawaelewi athari za katiba ya Zanzibar (2010) kwa Tanganyika na kwa muungano kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kisiasa, rais wa muungano ambae ndiye rais wa Tanganyika ni rais boya. Rais wa muungano ambae pia ni rais wa Tanganyika hatokuwa na uwezo wa kuilinda na kuitetea Tanganyika chini ya katiba iliyoboreshwa. Kiuchumi, chini ya serikali Mbili zilizoboreshwa, muungano utamhudumia mzanzibari kuliko mtanzania bara. Na kijamii, utambulisho wa mtanzania utafifia zaidi chini ya nchi Mbili Zenye serikali Mbili kuliko uzanzibari. Matokeo yake ni Kwamba Kama taifa, tutajenga Kizazi ambacho hakitaweza jitambua Huko Mbeleni.
Kwa mtazamo wangu, hayo Ni baadhi ya maeneo ambayo ukawa wanatakiwa kuyazingatia in their dialogue na wananchi.
Mag3,
Tatizo lililopo ni Kwamba Mwenyekiti wa Hilo bunge haweki maslahi ya taifa Mbele Bali maslahi binafsi ya posho na ya urais 2015. Kwa mfano, kwa Mujibu wa vyanzo vya uhakika, posho ya Sitta kwa siku 84 za bunge la katiba zitakuwa jumla ya shillingi milioni 150. Je unatarajia nini kwa kiongozi ambae Ana rekodi ya kujenga ofisi ndogo ya uspika jimboni kwake kwa gharama za walipa kodi shillingi milioni 500, ofisi ambayo sio Anna Makinda Wala maspika wajao wataitumia?
Sitta anaishi kwenye nyumba oysterbay inayogharamiwa na walipa kodi zaidi ya shillingi milioni kumi kwa mwezi Kama kodi, nyumba ambayo ilitakiwa ampishe spika Makinda lakini akagoma, sasa tutarajie nini kwa kiongozi wa aina hii Huko Dodoma ambako posho Ndio habari ya Mjini?
Pia tunajua uzoefu wake wa siasa za ubabe na kupinda mambo, mfano alivyowasha na kuzima hoja ya Richmond bungeni pre maturely. Majuzi ametishia ITV kwa sababu inasimamia upande wa wananchi. Anasahau Kwamba Wakati wa Sakata lake na the so called mafisadi, hakuna media org iliyompa air time Kama itv, kuanzia kipindi cha Dakika 45 hadi Sakata la mwakyembe kulishwa sumu.
Leo Sitta anaenda Mbali na kuamuru masuala ya Tanzania bara yaingizwe kwenye katiba ya muungano ili kuua hoja ya tanganyika. Kuna taarifa Kwamba anapita Kamati hadi Kamati na kuamuru nini cha kuwekwa. Kiongozi wa aina hii hatufai, ataipasua nchi vipande vipande kwani ameonyesha wazi Kwamba:
1. Hajali matakwa ya wananchi.
2. Hajali Sheria - amekiuka Sheria ya mabadiliko ya katiba (2011).
3. Hana hulka ya kuheshimu katiba ya nchi.
4. Mkandamizaji wa vyombo vya habari.
5. Hana nia ya Dhati ya kupambana na ufisadi na ubadhirifu wa Mali ya umma kwani Mbali ya Mifano hai hapo juu, pia amebariki ubadhirifu wa kulipana posho bungeni Katika suala ambalo mwisho wake tayari unajulikana - katiba ya wananchi haitopatikana.
Mamlaka ya mchakato husika yapo mikononi kwa wananchi kwa Mujibu wa Sheria ya mabadiliko ya katiba(2011), mamlaka ambayo Sitta Ameamua kuyapora. Huu ni uhalifu Kama aina nyingine zote za uhalifu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda nitoe mfano hai kwa hoja yako hii. Leo wazanzibar wapo Dodoma wanajadili ufugaji. Hivi hili linawahusu nini tukijua kuwa mzanzibar anaogopa hata kumshika ng'ombe. Leo wanajadili mambo ya Monduli ili iweje.
Wanajdili kilimo, wakati hilo haliwahusu n.k.
Hata Wabunge wa CCM na wa kundi maalumu hawaoni jinsi gani kuna hasara kwa Mtanganyika.
Ni kwamba unapokuwa na JMT tayari umeshamnyan'nganya Mtanganyika haki zake na kuzifanya za muungano.
Kama haki za Mtanganyika ni za muungano, kwanini zile za Mzanzibar ziwe zake? Muungano gani hapo?
Hawa wabunge waliofungwa akili, hawaelewi kubwa idadi ya wabunge wa majimbo ya uchaguzi 100 tu ya uchaguzi ya Tanganyika yanahudumiwa na kiasi kidogo cha rasilimali za wananchi wao kuliko zile zinazokwenda nchi jirani ya ZNZ.
Yaani inafika mahali unaona kabisa jinsi watu wanavyouza nchi yao, uzalendo na utaifa na kujiuliza, hivi watu kama wale wabunge wa CCM wana watoto kweli? Kama wanao wanadhani watawarithisha nini siku zijazo, bongofleva!
Kama yupo asiyeona social, economic and poilitical dhuluma inayofanyiwa Tanganyika, mtu huyo badala ya kuwa Bungeni angekuwa jirani na hospitali ya pale Dodoma.
Mnawasikiliza akina Sitta, hao baada ya kifo cha Nyerere ndio madalali waliobaki wa kuinadi nchi hii.
Watanganyika, tutawasha karabai na fanusi muone kile msichokiona, maana siku mtakapokiona bila kuambiwa patachimbika.
Hakika haukna nchi yoyote iliyowahi kucheza na katiba ikabaki salama.To the contrary, wale wanaobariki dhuluma hiyo ndio wanaokena watu wa maana. Nguruvi3 kwa mtu yoyote anayetumia akili, busara na uelewa rahisi, serikali mbili ni wizi, ujinga na ujuha.
Ni hatari sana kwa muungano wetu na usalama wa nchi yetu. I am telling you, when we talk of building strong institutions, constitution is one of them. If we get a sloppy one through this shabby process of alienating UKAWA and Jaji warioba, ni mwanzo mbaya sana kwa TZ.
CCM MAJI YA SHINGO
Mwanasheria Werema kasema lipo tatizo mbele ya safari ya BMK. Kwamba, uwezekano wa kupata akidi ya kupitisha rasimu ya Samwel Sitta ni mdogo sana. Werema amewataka UKAWA warudi, katiba inayokusudiwa ya Sitta na CCM ipate uhalali wa kisiasa.
UKAWA walimtaka Rais asimamishe mchakato kwasababu ili kuokoa fedha za wananchi.
Ikulu imejibu, Rais hana mamlaka ya kuvunja bunge.
Ukiangalia kauli mbili, ya Ikulu na Werema, hakuna shaka mambo ni magumu sana kwa upande wa CCM.
Ikulu imetumia lugha yake ya 'kawaida ya kutoonekana wabaya' Wanasema Rais hana mamlaka, halafu wanawasihi UKAWA warudi. In other words, wanamwambia Samwel Sitta aangalie failure iliyopo.
Bongolander alisema neno '' Sitta is not hinself'' na hakika mzee Kachanganyikiwa.
Mzee Sitta kabaki mwenyewe akihangaika kuunda tume na kutumia fedha kualika wafugaji na mambo mengine ya aibu. Asichokitambua kwasababu ya ubabe wake ni kuwa sasa hivi amebeba mzigo wote wa lawama na laana za katiba
Kama litatokea lisilotarajiwa, mtu wa kwanza kunyooshewa kidole ni Samwel Sitta.
Huyu ndiye aliita wapinzani vichwa ngumu na kuendesha bunge kwa ubabe akidhani ni mali yake
SITTA ANAWEZA KUOKOA PESA
Sheria iliyoanzisha mchakato na BMK haikueleza Rais kuwa na uwezo wa kuvunja Bunge.
Watu wengi akiwemo mwanasheria wanashindwa kuelewa jambo moja, kuna technical means zinazoweza kutumika kuokoa pesa za wakulima na wagfanyakazi zinazoendelea kufujwa na CCM Dodoma, bila huruma
SITTA AHIRISHA BUNGE, USIVUNJE
Mwezi wa sita Sitta aliahirisha bunge, kupisha bunge la bajeti liendelee.
Nafasi hiyo anayo ya kuahirisha bunge ili kupisha maridhiano.
Si kuvunja, ni kuahirisha kama ilivyowahi kutokea mara nyingin tu.
Njia ya pili, ni kutumia mbinu za kiufundi, kwa kushirikiana na CCM ili akidi isitoshe na kuwa sababu ya kuahirisha bunge
Haya ni machache, kuna mengi kisheria yanayoweza kuzungukwa na sheria isivunjwe na kuokoa pesa.
Hata hivyo, hivi kuna sheria gani inayoogopwa kuvunjwa nchini?
Kama hawatambui tume ya Warioba waliyounda wenyewe kuna sheria gani wanayoogopa hawa.
Samwel Sitta, pesa za wakulima zinateketea, hasira za wananchi juu ya katiba zipo juu, hasira za kudharauliwa maoni yao zipo juu, na hasira za uhuni unaoendelea wa kujali matumbo yenu zinaongezeka.
Hasira zote hizo zimeashaondoka kwa wahusika, na sasa zipo mabegani mwa Samwel John Sitta.
Wenzako Ikulu na ofisi ya mwanasheria wanaanza kujiosha, umebaki wewe na tume yako ya kushughulikia matatizo ya wafugaji.
Kumbuka yule mwanasheria wa Kenya, Kivuitu na Rais Kibaki hawakwenda the Hague.
Tusemezane
Mkuu Mchambuzi , silaha wanayotaka kuitumia CCM ni kuhusu kutokuwepo kwa sheria inayoruhusu bunge la katiba kuvunjwa na Rais. Hivyo wanaendelea ili kupora pesa tu wakijua matokeo yake ni kukosekana kwa wanachokitaka. Hoja yao ni kuwa BMK litavunjwa na nani? Kama ni hivyo UKAWA warudi.Mkuu Nguruvi3,
Una mtazamo gani kuhusu kufutwa Kabisa kwa Sheria ya mabadiliko ya Katiba (2011) na bunge la JMT? Kama rais Hana mamlaka ya kuvunjwa bunge lililopo kwa Mujibu wa Sheria, je bunge halina uwezo wa kuifutilia Mbali Sheria husika? Mimi nadhani kuvunjwa au kuhairishwa hakutakuwa na maana ikiwa bunge litakaporejea litaendeshwa kwa Sheria Ile Ile. Just thinking out loud.
Hakika umeongea jambo tulilokusudia kwa namna tofauti.Nguruvi3.
Nikianza na hitimisho lako kwamba wananchi, vyama vya upinzani na wadau mbalimbali wanatakiwa kutoizungumzia kabisa katiba ya CHENGE kwa sababu itakuwa ni kuipa promo, kwa upande wangu natofautiana kabisa na wewe.
Moja unapaswa kukumbuka kwamba kuna mambo mengi tu ambayo upinzani ambao ni ndio twaweza sema wanasauti kubwa zaidi katika taifa hili ukiacha mbali serikali tawala umesusia lakini mwisho wa siku yakapita tena bila matatizo yeyote Katiba ya Chenge ikiwa ni mfano tu wa mambo hayo.
CCM haihitaji wananchi wanaoilewa ni nini katiba na inamaana gani hasa kwa taifa lao na maisha yao.
Inatakiwa kujulikana kwamba katiba hii ili ipite inaitaji wananchi ima wajinga, waliohongwa au wenye vyeo kuipitisha lakini sio wananchi wenye akili zao timamu na hili linajulikana vizuri na CCM.
Kwa maana kuipotezea ni sawa na kuwapa nafasi nzuri ya kuipitisha kimagumashi. Lakini pia wakati unaposema wananchi wasusie kumbuka sio wananchi wote ni wa upinzani au wanaelewa katiba ni nini kwa mustakabali wa taifa lao la kesho. Watanzania weng bado wanaiamini serikali ya CCM pamoja na yote yanayopita chini ya mikono yake kama ufisadi,rushwa na mengineyo.
Angalau ungeshauriwapinzani kuendelea kutumia nguvu kubwa kuwaelezea wananchi ukiukwaji wataratibu nzima za upatikanaji wa katiba na kwamba hata waliohusika katikaundikaji wa katiba ni waovu ambao hawakustahili kufanya kazi hiyo nzito.
Jambo la msingi la kujulikana katika mchakato huu ni kwamba kwa bara katiba hii inaweza kupita bila kipingamizi tatizo na sehemu ya kuitilia mkazo ni Baraza la wawakilishi ZNZ na wananchi wa ZNZ. Hao ndio wanaoweza kuamua ipite au isipe hasa sheria ikiwa haijabadilishwa.
AdharusiNakuheshimu mkuu,lakini kuna vitu umejaribu kuwa mtabiri,jambo ambalo si kweli,unaposema wananchi wameisusa,wananchi gani hao,mtaa gani,Kata gani,wilaya,mkoa,vinginevyo itabaki kua Hisia