S Siamin Member Joined Apr 1, 2012 Posts 64 Reaction score 5 Sep 28, 2014 #1 Duplicating machine mpya inauzwa ina milango nane ina copy dvd, vcd na cd aina zote karibuni sana. phone: 0713343531
Duplicating machine mpya inauzwa ina milango nane ina copy dvd, vcd na cd aina zote karibuni sana. phone: 0713343531
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,542 Sep 28, 2014 #2 Weka bei, Wengine huwa tunanunua vitu siyo kwamba tunavihitaji. Ila inapotokea bei inavutia kuvinunua na wakati huo pesa haina matumizi. Pia tupe Specs zake zaidi, ni brand gani?
Weka bei, Wengine huwa tunanunua vitu siyo kwamba tunavihitaji. Ila inapotokea bei inavutia kuvinunua na wakati huo pesa haina matumizi. Pia tupe Specs zake zaidi, ni brand gani?
S Siamin Member Joined Apr 1, 2012 Posts 64 Reaction score 5 Sep 30, 2014 Thread starter #3 TANMO said: Weka bei, Wengine huwa tunanunua vitu siyo kwamba tunavihitaji. Ila inapotokea bei inavutia kuvinunua na wakati huo pesa haina matumizi. Pia tupe Specs zake zaidi, ni brand gani? Click to expand... ni laki sita na nusu mkuu
TANMO said: Weka bei, Wengine huwa tunanunua vitu siyo kwamba tunavihitaji. Ila inapotokea bei inavutia kuvinunua na wakati huo pesa haina matumizi. Pia tupe Specs zake zaidi, ni brand gani? Click to expand... ni laki sita na nusu mkuu
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 Sep 30, 2014 #4 mkuu ingelifaa ungetuwekea japo kapicha ya hiyo duplicating machine tuone halafu ungetutajia bei yake basi mkuu ndo biashara zinavyofanywa hapa Siamin said: duplicating machine mpya inauzwa ina milango nane ina copy dvd, vcd na cd aina zote karibuni sana. phone: 0713343531 Click to expand...
mkuu ingelifaa ungetuwekea japo kapicha ya hiyo duplicating machine tuone halafu ungetutajia bei yake basi mkuu ndo biashara zinavyofanywa hapa Siamin said: duplicating machine mpya inauzwa ina milango nane ina copy dvd, vcd na cd aina zote karibuni sana. phone: 0713343531 Click to expand...
S Siamin Member Joined Apr 1, 2012 Posts 64 Reaction score 5 Oct 4, 2014 Thread starter #5 ladyfurahia said: mkuu ingelifaa ungetuwekea japo kapicha ya hiyo duplicating machine tuone halafu ungetutajia bei yake basi mkuu ndo biashara zinavyofanywa hapa Click to expand... bei ni sh laki sita na nusu. nicheki nikulushie picha whtsupp kk
ladyfurahia said: mkuu ingelifaa ungetuwekea japo kapicha ya hiyo duplicating machine tuone halafu ungetutajia bei yake basi mkuu ndo biashara zinavyofanywa hapa Click to expand... bei ni sh laki sita na nusu. nicheki nikulushie picha whtsupp kk
S Siamin Member Joined Apr 1, 2012 Posts 64 Reaction score 5 Oct 4, 2014 Thread starter #6 nicheki kwenye hii namba nikutumie whtsupp picha. 0713343531