Duplicating machine for sale (dvd, vcd, cd)

Duplicating machine for sale (dvd, vcd, cd)

Siamin

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
64
Reaction score
5
Duplicating machine mpya inauzwa ina milango nane ina copy dvd, vcd na cd aina zote karibuni sana.
phone: 0713343531
 
Weka bei,
Wengine huwa tunanunua vitu siyo kwamba tunavihitaji.
Ila inapotokea bei inavutia kuvinunua na wakati huo pesa haina matumizi.

Pia tupe Specs zake zaidi, ni brand gani?
 
Weka bei,
Wengine huwa tunanunua vitu siyo kwamba tunavihitaji.
Ila inapotokea bei inavutia kuvinunua na wakati huo pesa haina matumizi.

Pia tupe Specs zake zaidi, ni brand gani?

ni laki sita na nusu mkuu
 
mkuu ingelifaa ungetuwekea japo kapicha ya hiyo duplicating machine
tuone halafu ungetutajia bei yake basi mkuu ndo biashara zinavyofanywa hapa
duplicating machine mpya inauzwa ina milango nane ina copy dvd, vcd na cd aina zote karibuni sana.
phone: 0713343531
 
nicheki kwenye hii namba nikutumie whtsupp picha. 0713343531
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom