Habari za leo wanajukwaa. wadau naomba msaada kwa anayejua tatizo la simu kuji duplicate sms. Simu
yangu ni samsung duos GT-S5303. Shida inakuwa ninapotumia sms moja inakuwa inajiduplicate automatic na zinaweza fika hata 20 so inakuw ni usumbufu. Msaada wa anayejua wadau