Duniani wawili wawili

Hebu patia sisi hizo details za hiyo mutu natokea Indonesia maana mimi naona kama mutu yote ipo sawa
 
Mama wa Barack Obama anatokea Indinesia. Wanaweza wakawa wanashare damu.
 
Mama wa Obama ni mzungu. Baada ya kuachana na baba yake mzazi Mkenya, akaolewa na mtu wa Indonesia. Obama na mama yake pamoja na baba wa kambo, wakakaa Indonesia kwa miaka minne. Akazaa msichana na baba wa Indonesia kabla ya ndoa yao kuvunjika na wote watatu kurudi Marekani.

Jamaa wa Indonesia anafanana sana na Obama na ametajirika kufanya kazi ya kupigwa picha na ku act kama Rais wa Marekani katika party au sinema na TV show. Hana uhusiano wowote.



Obama akiwa Indonesia na baba wa kambo wa Indonesia, mama yake na dada yake Maya.



Maya Soetoro-Ng, dada wa Obama. Mama moja, baba mbalimbali.
 
Indonesian photographer Ilham Anas works as an Obama look-alike on Indonesian TV.

Anas, 34, who from some angles bears a resemblance to the new U.S. president, shot to fame in Jakarta after Obama, 47, won the election Nov. 4, and is now earning income as an Obama double.

Many Indonesians have a keen interest in Obama, who lived in Jakarta for four years after his American mother, Ann Dunham, married Muslim Indonesian Lolo Soetoro following the end of her marriage to Obama's Kenyan father.

It started as a joke to take his picture dressing as President Obama.

"The pictures spread very quickly on the Internet. It was phenomenal. Then TV stations and an advertising agency got in touch with me."

That led to an appearance in a pharmaceuticals advertisement in the Philippines, China and other countries.

Anas, who was born and raised in Bandung, West Java, said he feels lucky to resemble Obama.











source:irishmirror.ie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…