Watu mashuhuri kama Obama,Osama, Saddam,Magufuli,Messi,Ricky Ross na wengine wengi waliripotiwa kufanana na binadamu wengine.Hata matapeli na wahuni wengine wakijingundua kufanana na watu mashuhuri hususani wanamichezo au wanamuziki huingia mitaani na hufuatwa na mashabiki wakidhaniwa ni halisi na hutumia mwanya huo kutapeli mashabiki wa mastaa wa ukweli