Duniani umekuja kufanya nini?

Hili swali ungemuuliza binadamu wa kwanza.
Lakini sisi tuliopo duniani tutakudanganya tu maana hakuna mtu aliyekuja duniani bali. tumeletwa kwa lazima huku tukiwa tunalia..

Wengi wanapata/wanatafuta purpose wakiwa hapa hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Minimejikuta nipotu hapa duniani sijui hata sikunilipoletwa hapa ilikuwaje, kwa hiyo siwezi kusema nimekuja kufanya nini maana sikupanga kuja hapa nimejikutatu nipo hapa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unafikiri duniani umekuja kufanya nini? Au Wewe kwa mawazo na akili yako unafikiri duniani hapa umeletwa kuja kufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Lengo Mama la kuumbwa/kuletwa duniani kwa kiumbe mwanadam ni ili Amuabudu Aliyemuumba. na akasema MOLA MLEZI

وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنْسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ

Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.

-Surat Adh-Dhariyat, Ayah 56
51:56
 
Life is a game, play it. You play it well you get bonus point, more life more token and fun indeed.
But if you sleep, be lazy, do nothing just stay there...... when the game is over you are out......

Hakuna game isiyokiwa na muda wa kumaliza, wale wanaocheza game jinsi unavyocheza kwa kutumia akili na utulivu ndivyo unavyoenda levo za juu. Ukikutwa na kizuizi na hukujiandaa kukikwepa au kukitoa kitakugharimu aidha kupunguza muda wako wa kuishi au point za bonus au kukurudisha steps nyuma n.k n.k

All in all there is a game owner who enjoys and sees all players who play his game..... we are characters of the game..... who is the owner I don’t know....

What I know is I enjoy the game and am playing to my capacity and more.... be keen is the main point in life game...

A point to note is, in life game there are other characters who will pull you down make you fail as they want to win and they want both of you to lose....

Not all games have two or three chances to start a fresh, play your game well.

Sijui nimeenda deep sana.... wataonielewa wasaidie kuelezea wengine.....

K’ Matata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…