Watu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu Agnes Gao aliyekuwa
akiishi eneo la Zizini wilayani Handeni kisha kuiba mavazi yake ya mwisho
aliyovishwa tukio hilo la kusikitisha limekuja siku mbili tu baada ya mwili wa
marehemu kuzikwa. Hii ni kwa mujibu wa ITV...