proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 5,379
- 6,931
Nimekaa nikatafakari kuwa usishindane na mtu au watu kwa namna yoyote ile. Watu wametofautiana kutokana na karama aliyotupa Mungu.
Kuna wenye akili nyingi za kugundua na kuunda vitu vinavyomvutia mwanadamu mwingine.
Nashangaa sana kuona mitambo na mikubwa, kv ndege, mashine za kwenye migodi, mabasi. Huwa najiuliza aliyetengeneza hicho kitu aligunduaje yeye? Aliota usiku?
Fikiri hata hizo nyaya ni nyingi kiasi kwamba ukikatika hata mmoja mtu unayerekebisha unapata tabu kweli.
Fikiri aliyewaza umeme aliwazaje? kwa nini yeye? na ilikuaje?
Fikiri aliyetengeneza makompyuta mara wireless alifikiria nn? kwa nini yeye? ilikuaje aliota usiku au alioneshwa na Mungu?
Fikiri hawa wachina wanotenganisha maji wakati wa kutengeneza daraja inakuaje?
Fikiri wanaotengeneza mabomu ya mbali, kwenda mwezini inawezekanaje? mbona sisi ngozi nyeusi japo tunajitahidi hatuwafikii hata kwa asilimia 20?
Fikiri sementi inavyochakatwa ule moto unaopika yale mawe ni 3600c sawa na ule kutengeneza nondo? haya si maajabu? huyo mtu anayewaza huwa anapata majibu saa ngapi?
Licha ya kuwaza, unaweza ukawa na kitu kichwani lakini unaanzaje?
Duu ngoja ninywe maji kwanza nilale niamke nikakojoe. ๐๐ข๐ฆ๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ง๐๐ณ๐ ๐๐ฉ๐ฉ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ก๐๐ฆ๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐๐ก๐๐ฃ๐ข ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ค๐จ๐ฆ๐ฉ๐ฎ๐ญ๐ ๐๐ฎ ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐๐ง๐ ๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐ข๐ 1 ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ฐ๐ ๐ฎ๐ง๐ 100% ๐ฎ๐ ๐๐ฆ๐ ๐๐ฐ๐ข๐ ๐ก๐๐ญ๐ 50% ๐ข๐ฅ๐ข ๐๐ฐ๐ ๐ง๐ 51% lakini nywele zinaweza kuisha kichwani
Intelligent businessman
dronedrake
Usisite kufanya nofap
Kama una tatizo la kisaikolojia usisite kuja PM
Wako proton pump ๐ข ๐ฑ๐ด๐บ๐ค๐ฉ๐ฐ๐ต๐ฉ๐ฆ๐ณ๐ข๐ฑ๐ช๐ด๐ต.