Dunia ya tatu siasa za dunia ya kwanza

Dunia ya tatu siasa za dunia ya kwanza

mstai

Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
10
Reaction score
2
Siasa za Africa bado hatujajua tuziendeshe vipi. Tunataka kuendesha siasa za Africa kama za dunia ya kwanza ili hali sisi tuko dunia ya tatu.hili
nikosa kubwa sana ambalo viongozi wetu wa siasa wanatumia kutuumiza
hasa vijana.
Inauma sana kuona vijana tunakua ni wahanga wa siasa za kiafrika
 
Demokrasia sio asili yetu afrika. Hao wa dunia ya kwanza ndio wanatulazimisha
 
Je sisi dunia ya tatu tutumie vyoo kama vinavyotumika dunia ya kwanza au tuendelee kufanya vyetu kichakani?
 
Siasa za Africa bado hatujajua tuziendeshe vipi. Tunataka kuendesha siasa za Africa kama za dunia ya kwanza ili hali sisi tuko dunia ya tatu.hili
nikosa kubwa sana ambalo viongozi wetu wa siasa wanatumia kutuumiza
hasa vijana.
Inauma sana kuona vijana tunakua ni wahanga wa siasa za kiafrika

Unajua ukitaka kuiga uchumi wa ulaya basi uwezi kwepa siasa zake na mara zote tunataka kuchukua kimoja tuache kingine haya ndio majibu yake!
 
Back
Top Bottom