mila zote ambazo hazihitilafiani na imani yangu niliyoipata kupitia wayahudi ni nzuri kbs.
walawi 19: 26-28
1:Msile chochote kikiwa na damu au kunywa damu.
2:Msilogane
3:msinyoe denge au panki kwa aina zake hadi viduku.
4:msichanje chale kwenye miili yenu. hili ndio la kwenye mada.
5:Msiandike alama kwenye miili yenu.. Hapa tatoo na uchafu wote.
6:msichonge ndevu
7:Msitegemee wabashiri hapa nyota zote zinaingia...