Neno Dunia,halina tofauti sana na neno Gunia,
ni Herufi moja tu iliyotofauti na mwenzake
D G
Dunia
Mwanzo wake ni mchungu
na mwisho wake ni mchungu
Maisha yako,yamezunguukwa na Machungu
Ulizaliwa,ukiwa unalia,na kama hukulia,basi utalazimishwa kulia
Kadhalika,utaondoka ukiwa unalia,na wapo watakaokulilia
Hakuna siku,unayodumu nayo ww mwanaadam,ukiwa na Raha masaa yote 24
Raha ni fupi sana,na yenye kudanyanga
Usijaribu kufeki maisha ya Raha
Ilihali hakuna raha halisi yenye uhakika
Haikuwa Dunia,isipokuwa ni masaa tu ya kuhesabika
TAHADHARI
usijidanganye...