SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
ndege haijatekwa itakuwa imepotelea kwenye sayari nyingine za mbaliiiiiii huko...wafanye mpango kwenda kuitafuta na huko
just imagine, kam ni ugaidi tumekwishadah kazi kweli na hawakubali kabisa kusema imetekwa.....kuna nini hapa? Binafsi hata mimi nimeshindwa kuamini hali hiyo ya kuangukia baharini halafu resources zote zimetumika na bado bila bila?
kama imetekwa ni wazi kwamba aliyefanya hilo tukio ana technolojia kubwa kuliko ya hawa tunowaamini kwamba wako mbele kiteknolojia!
sasa Mmarekani si anajifanya yeye ni mtaalamu wa sayari za juu, basi atuambie ndege iko wapi...au ni yeye ameiteka halafu anatuzuga?ndege haijatekwa itakuwa imepotelea kwenye sayari nyingine za mbaliiiiiii huko...wafanye mpango kwenda kuitafuta na huko
Kwa sayansi imefika mwisho?ukiona hivyo ujue sasa kumbe aaaaaah MUNGU yupo. maana hapo ndipo MWENYEZI MUNGU anapowakumbusha wanadamu mipaka yao na uwepo wake.
alaa kumbee! tufanyeje sasa?siku.zote hao mnaowaita MAGAIDI wana akili kuliko hao wamarekani mnao waabudia
Na bado huu ni mwanzo tu
Dah hii kaliThis is Paranormal phenomena, kuna uwezekano kuwa ndege hii haijaanguka wala haijatekwa, abiria wote wako hai somewhere
wewe umeua bend kabisa!ndo mana tunaambiwa to live it to the fullest ,with love and doing what u want ,mana anything can happen at any time...kila nikiwaza daaah,naogopa sana kufa .,may i die an old grandma Amen..
chances are slim kwa wao kuwa hai...am convinced it's somewhere in a trench huko baharini...maybe Mariana's trenchThis is Paranormal phenomena, kuna uwezekano kuwa ndege hii haijaanguka wala haijatekwa, abiria wote wako hai somewhere
wewe umeua bend kabisa!
okey! kwani haya masetelite hayafanyi kazi? mbona wamarekani waliweza kumuua Osama bila Pakistan kujua? yaani kwa dunia ya sasa (kitechnolojia) wenzetu wako mbali sana, sasa sijui setilite zao zilizimwa au ...sipati pichaYote yanawezekana hakuna kumuamini mmarekani kila taifa linajitegemea lakini pia tunasaidiana kama binadamu. Inawezekana imeanguka kwenye milima ya Uzbekistan au baharini nobody knows kwani ndege nyingi zimepotea bila kujulikana kama ya air India iliyoanguka France ilipatikana baada ya miaka 50. Lakini kwa hali iliyopo sasa na ubabe wa mmarekani anything can happen
okey! kwani haya masetelite hayafanyi kazi? mbona wamarekani waliweza kumuua Osama bila Pakistan kujua? yaani kwa dunia ya sasa (kitechnolojia) wenzetu wako mbali sana, sasa sijui setilite zao zilizimwa au ...sipati picha