mm ndio najua leohii mbona ni ya muda sana ..had tushazoea
Mzee baba jamaa kafanya surgery yapata mwaka wa 4 sasa .. wewe ndio unajua leo " !!? Ulikuwa jela au !!?mm ndio najua leo
hhahaa samahani mkuu "nikazani "inajualikana kwa wote😉😊kumbe "nimezani" sivyoAnazani wote wanajua
😂😂😂😂😂😂😷😷 labda anaishi uswekeni huko... simiyu ndan ndan huko...a.k.a nhobolwa!Mzee baba jamaa kafanya surgery yapata mwaka wa 4 sasa .. wewe ndio unajua leo " !!? Ulikuwa jela au !!?
Mimi nilikuwa sijui, usijali.hhahaa samahani mkuu "nikazani "inajualikana kwa wote[emoji6][emoji4]kumbe "nimezani" sivyo
Nimeshangaa sana ... lakini id yake ni enyeji humu " ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji40][emoji40] labda anaishi uswekeni huko... simiyu ndan ndan huko...a.k.a nhobolwa!
Kasahau kubadili sautiHuyo mzee anaitwa William Bruce Jenner Baba wa Kardashian Familly, ni Baba mzazi wa wanamitindo Kylie Jenner pamoja na Kendle Jenner , Pia ni baba mlezi wa kina Kim Kardashian .
Baada ya kutojikubali kuna yeye ni mwanaume aliamua kutoa fedha ili kufanyiwa upasuaji mkubwa ambao alibadili baadhi ya sehem zake za mwili ili zifanane na za mwanamke, alibadili sehem za siri kutoka penis(uume) kuwa na uke wa bandia na pia alifanyiwa upasuaji wa kifua kwa ajili ya kukuza matiti ili afanane na mwanamke.
Baada ya upasuaji kumalizika na kuwa na muonekano wa kike alibadili jina rasmi na kujiita Caitlyn Bruce Jenner na kujitangaza kuwa yeye kwa sasa ni mwanamke na sio mwanaume tena
[emoji116]
View attachment 977861
Familia yake imejaaliwa kuwa na utajiri mkubwa ikiwemo watoto wake ambao wote ni matajiri akiwemo Kylie Jenner ambaye anaumri wa miaka 21 na ana utajiri wa Trillioni 1.9, Licha ya familia hii kuwa matajiri wa kutupwa lakini ni familia ambayo haina maadili kutokana na vitendo vyao wanavyovionyesha kwa jamii
[emoji116]
Picha za Bruce Jenner enzi hizo mwanaume mashine kabla hajazeeka na kujibadilisha jinsia
View attachment 977879
View attachment 977880
View attachment 977881
Kwa jinsi dunia ilivyo kasi huwezi kuvijua vitu vyote kwaMzee baba jamaa kafanya surgery yapata mwaka wa 4 sasa .. wewe ndio unajua leo " !!? Ulikuwa jela au !!?
hii mbona ni ya muda sana ..had tushazoea
Hata mimimm ndio najua leo
Hii issue ilikuwa kicked sana chief... yaani ilivuma haswaa sio kipole pole ... so wengi ambao hawajui kuhusu hii habari ni wale watu ambao hawajajiweka karibu na mitandao ya kijamiiKwa jinsi dunia ilivyo kasi huwezi kuvijua vitu vyote kwa
Wakati mmoja. na ndio maana hata ww kuna vitu vingi sana hauvijui.
Atabadilishwa na muhogo mkuu Wala haitaji kutumia gharama[emoji23]Kasahau kubadili sauti
Unataka kumaanisha nini mkuuAsingefanya hivyo nadhani hata hiyo familia yake isingekuwa tajiri na umaarufu wowote ule, kuwaelewa Freemansony lazima uwe na akili ya ziada....