Law of Attraction zina sema Ask Universe and universe will give you .
.kupitia
.frequency
.Vibration
.Energy
We attract positive & negative through our thought.
Budha say " every thing start in mind "
Dunia ni mama.
Inatupa malazi, makazi ,na inatutunza kupitia vilivyomo ndani yake. misitu inatupa hewa safi. Bahari mito na maziwa vinatupa maji yasiyokauka .
Dunia ni mama. chakula tunachokula na vingine Vingi Dunia imekubali kutupatia.
Ask universe kila kitu kinapatikana hapa hapa Duniani
I say what I know
Dunia ni mama na. Mungu ni Baba