Ni bahati nzuri kwamb na mimi ni mtanzania vingevyo ningewacheka sana watanzania,, mshauri mkuu wa serikali kuhusu mambo ya kisheria anajiuzulu na anapongezwa......ningecheka!!!!
Ushauri wa AG ulibezi kwny hukumu wa Jaji Utamwa hasa ktk kipengele hiki and i qoute "all affairs belong to IPTL shld be handled to IPTL" hv kweli AG alikuwa hajui kwmb escrow account ilikuwa na signatories wawili (IPTL and TANESCO) inawezekana vp AG akaona kwmb escrow acc ni ya IPTL na kumsahau mbia mwngne tanesco?? Ni bahati mbaya au makusudi?? Kwa sababu hii tumpongeze au tumpeleke segerea??
Dunia inatushangaa....