meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,198
Duh hii kaliHabari ya mapumziko wana JF...
Muda mchache uliopita nimetoka pharmacy kununua dawa za nyumbani,kwa utaratibu nikiojiwekea lazima nyumbani pasikose pain killers ,magnesium,flagyl,plasta etc kwa kifupi vitu cha huduma ya kwanza.
Nikiwa hapo pharmacy nikawa nabadilishana mawili matatu na kaka (pharmacist )wa hapo kwasabu tunafahamiana (wakunyumba).Wakaja wababa wawili kwa awamu mbili yani walipishana.Alivyokuja wa kwanza akamsalimia bila kuongea kaka akaingia ndani akatoka na dawa sikuziona akampatia yule baba akanywa kisha akaaga. Baada ya dk chache akaja mwingine kijana tu akasalimia pale kwa kutuchangamkia na yeye akapatiwa dawa na maji akanywa zake akasepa.
Nikamuuliza kaka kiutani "jamani dawa unatoa kwa upendeleo mbona nimekaa hapa muda wote hujanipa hata panadol" Akaguna tu akaniambia mdg wangu shukuru mungu huhitaji dawa ili uonekane una afya...watu wanaogopa kuvunja nyumba zao dawa wananywea pharmacy.Nikawa sijaelewa ,akasema yani siku hizi watu hawataki kukaa na dawa nyumbani wanakuja wanakunywa wanaenda af akacheka akasema mi kikubwa wananilipa kutunza dawa zao.Yani alikua anaongea very calm as if ni kitu cha kawaida sana.
Loooh nitabaki na butwaa moyo ukanyong'onyea.
Jamani dunia ina mambo....mtu anakuua hivi hivi ARV zake anatunzia pharmacy akija home huko vizuri hujui na maisha yanaenda .
Nimetafakari nimekosa raha ukizingatia hata kisheria nahisi ni kosa ila sasa ndo hivo mtu anatafuta riziki huku wenzie wanatunza siri ktk ndoa zao.
Nawaza hapo itokee uende kupima ugundue una VVU lijamaa litakavyo kunyanyasa kumbe limeungua kitambo dawa limefichia pharmacy.
Dunia nzito sana.
Wasalam.....Meghan!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nijichungulie ntakwambiaSio kilicho kupeleka Pharmacy, acha kutoa siri zetu Mkuu...!!
Na sijui, wewe ni Me au Ke...?
Na walikuwa wanasubiri uondoke ila huondoki ikabidi waje tu hakuna namnaUtakuwa ulikaa muda mrefu sana hapo dukani.
Pasina shaka unaishi nje mjiHabari ya mapumziko wana JF...
Muda mchache uliopita nimetoka pharmacy kununua dawa za nyumbani,kwa utaratibu nikiojiwekea lazima nyumbani pasikose pain killers ,magnesium,flagyl,plasta etc kwa kifupi vitu cha huduma ya kwanza.
Nikiwa hapo pharmacy nikawa nabadilishana mawili matatu na kaka (pharmacist )wa hapo kwasabu tunafahamiana (wakunyumba).Wakaja wababa wawili kwa awamu mbili yani walipishana.Alivyokuja wa kwanza akamsalimia bila kuongea kaka akaingia ndani akatoka na dawa sikuziona akampatia yule baba akanywa kisha akaaga. Baada ya dk chache akaja mwingine kijana tu akasalimia pale kwa kutuchangamkia na yeye akapatiwa dawa na maji akanywa zake akasepa.
Nikamuuliza kaka kiutani "jamani dawa unatoa kwa upendeleo mbona nimekaa hapa muda wote hujanipa hata panadol" Akaguna tu akaniambia mdg wangu shukuru mungu huhitaji dawa ili uonekane una afya...watu wanaogopa kuvunja nyumba zao dawa wananywea pharmacy.Nikawa sijaelewa ,akasema yani siku hizi watu hawataki kukaa na dawa nyumbani wanakuja wanakunywa wanaenda af akacheka akasema mi kikubwa wananilipa kutunza dawa zao.Yani alikua anaongea very calm as if ni kitu cha kawaida sana.
Loooh nitabaki na butwaa moyo ukanyong'onyea.
Jamani dunia ina mambo....mtu anakuua hivi hivi ARV zake anatunzia pharmacy akija home huko vizuri hujui na maisha yanaenda .
Nimetafakari nimekosa raha ukizingatia hata kisheria nahisi ni kosa ila sasa ndo hivo mtu anatafuta riziki huku wenzie wanatunza siri ktk ndoa zao.
Nawaza hapo itokee uende kupima ugundue una VVU lijamaa litakavyo kunyanyasa kumbe limeungua kitambo dawa limefichia pharmacy.
Dunia nzito sana.
Wasalam.....Meghan!
Sijakuelewa hata....ukitulia uje unieleweshePasina shaka unaishi nje mji
Duh sasa hao ambao hunywea Pharmacy ili kuwaficha wake zao akili zimo kweli??Habari ya mapumziko wana JF...
Muda mchache uliopita nimetoka pharmacy kununua dawa za nyumbani,kwa utaratibu nikiojiwekea lazima nyumbani pasikose pain killers ,magnesium,flagyl,plasta etc kwa kifupi vitu cha huduma ya kwanza.
Nikiwa hapo pharmacy nikawa nabadilishana mawili matatu na kaka (pharmacist )wa hapo kwasabu tunafahamiana (wakunyumba).Wakaja wababa wawili kwa awamu mbili yani walipishana.Alivyokuja wa kwanza akamsalimia bila kuongea kaka akaingia ndani akatoka na dawa sikuziona akampatia yule baba akanywa kisha akaaga. Baada ya dk chache akaja mwingine kijana tu akasalimia pale kwa kutuchangamkia na yeye akapatiwa dawa na maji akanywa zake akasepa.
Nikamuuliza kaka kiutani "jamani dawa unatoa kwa upendeleo mbona nimekaa hapa muda wote hujanipa hata panadol" Akaguna tu akaniambia mdg wangu shukuru mungu huhitaji dawa ili uonekane una afya...watu wanaogopa kuvunja nyumba zao dawa wananywea pharmacy.Nikawa sijaelewa ,akasema yani siku hizi watu hawataki kukaa na dawa nyumbani wanakuja wanakunywa wanaenda af akacheka akasema mi kikubwa wananilipa kutunza dawa zao.Yani alikua anaongea very calm as if ni kitu cha kawaida sana.
Loooh nitabaki na butwaa moyo ukanyong'onyea.
Jamani dunia ina mambo....mtu anakuua hivi hivi ARV zake anatunzia pharmacy akija home huko vizuri hujui na maisha yanaenda .
Nimetafakari nimekosa raha ukizingatia hata kisheria nahisi ni kosa ila sasa ndo hivo mtu anatafuta riziki huku wenzie wanatunza siri ktk ndoa zao.
Nawaza hapo itokee uende kupima ugundue una VVU lijamaa litakavyo kunyanyasa kumbe limeungua kitambo dawa limefichia pharmacy.
Dunia nzito sana.
Wasalam.....Meghan!
Ila kama anakula Karanga(ARV) ambukizi tena so relax.na usiwe na ofu...Juzi tu hapa JF kuna mdada alikuwa anasema kuwa kaka ake alipata mrembo mmoja wa JF ila alikuwa anakula Dawa kisiri siri wakiwa wanakula bata Bwagamoyo jamaa akashtuka na kumbamba na dawa za kuzuia makali ya HIV... ni hivi usjione mjanja na wala usifurahi maambokizo ya wengine...Ukweli familia nyingi azipo sawa..Mama yupo bize na kazi pia na baba...watoto wanalelewa na house girl na house boy.mfano sasa familia zina physical address 2 dodoma na Dar au kwingineko Baba / Mama peke yao kwa miezi 3 au 6 aiwezekani... na watoto wetu wanapevuka mapema...mama ana tembea na house boy,Baba anatembea na House GirlHabari ya mapumziko wana JF...
Muda mchache uliopita nimetoka pharmacy kununua dawa za nyumbani,kwa utaratibu nikiojiwekea lazima nyumbani pasikose pain killers ,magnesium,flagyl,plasta etc kwa kifupi vitu cha huduma ya kwanza.
Nikiwa hapo pharmacy nikawa nabadilishana mawili matatu na kaka (pharmacist )wa hapo kwasabu tunafahamiana (wakunyumba).Wakaja wababa wawili kwa awamu mbili yani walipishana.Alivyokuja wa kwanza akamsalimia bila kuongea kaka akaingia ndani akatoka na dawa sikuziona akampatia yule baba akanywa kisha akaaga. Baada ya dk chache akaja mwingine kijana tu akasalimia pale kwa kutuchangamkia na yeye akapatiwa dawa na maji akanywa zake akasepa.
Nikamuuliza kaka kiutani "jamani dawa unatoa kwa upendeleo mbona nimekaa hapa muda wote hujanipa hata panadol" Akaguna tu akaniambia mdg wangu shukuru mungu huhitaji dawa ili uonekane una afya...watu wanaogopa kuvunja nyumba zao dawa wananywea pharmacy.Nikawa sijaelewa ,akasema yani siku hizi watu hawataki kukaa na dawa nyumbani wanakuja wanakunywa wanaenda af akacheka akasema mi kikubwa wananilipa kutunza dawa zao.Yani alikua anaongea very calm as if ni kitu cha kawaida sana.
Loooh nitabaki na butwaa moyo ukanyong'onyea.
Jamani dunia ina mambo....mtu anakuua hivi hivi ARV zake anatunzia pharmacy akija home huko vizuri hujui na maisha yanaenda .
Nimetafakari nimekosa raha ukizingatia hata kisheria nahisi ni kosa ila sasa ndo hivo mtu anatafuta riziki huku wenzie wanatunza siri ktk ndoa zao.
Nawaza hapo itokee uende kupima ugundue una VVU lijamaa litakavyo kunyanyasa kumbe limeungua kitambo dawa limefichia pharmacy.
Dunia nzito sana.
Wasalam.....Meghan!
Umeandika kwa hisia kali sana ,ukweli mtupu.Tuombe sana tusiwe sehemu ya janga hili kama bado.Tuombee na vizazi vyetuIla kama anakula Karanga(ARV) ambukizi tena so relax.na usiwe na ofu...Juzi tu hapa JF kuna mdada alikuwa anasema kuwa kaka ake alipata mrembo mmoja wa JF ila alikuwa anakula Dawa kisiri siri wakiwa wanakula bata Bwagamoyo jamaa akashtuka na kumbamba na dawa za kuzuia makali ya HIV... ni hivi usjione mjanja na wala usifurahi maambokizo ya wengine...Ukweli familia nyingi azipo sawa..Mama yupo bize na kazi pia na baba...watoto wanalelewa na house girl na house boy.mfano sasa familia zina physical address 2 dodoma na Dar au kwingineko Baba / Mama peke yao kwa miezi 3 au 6 aiwezekani... na watoto wetu wanapevuka mapema...mama ana tembea na house girl,Baba anatembea na House Boy
.binti zetu je???Tusali na kuomba na wala wewe usijione sio sehemu ya HIV just pray and ask God to help you not to be part of TACAIDS..kwa akili zako na hivyo vikondomu vinavyokuziba robo ya uchi@ wako na mcha ulivaa Jeans umechubuka mapaja na baada ya bao moja unalala bila kijisafisha Usiwe na furahaaa wala usinyanyapae....[emoji257][emoji257].Kristu mfufuka atujalie huruma na upendo wa Mungu wa kweli.[emoji120][emoji120][emoji120]