Katika mkusanyiko wa sayari nyingi na nyota mbalimbali kunauwezekano mkubwa kwenye sayari zingine mamilioni kukawa na viumbe hai.
Kwakutumia formula za kimahesabu uwezekano wa kuwepo viumbe kwenye sayari zingine ni asilimia mia.
Lakini kwa utawala wa sasa wa dunia ni mbovu kiasi cha kufanya watu wasifikiri sana. Dunia imetawaliwa na siasa na dini. Watu wanajificha kwenye mgogo wa dini au siasa na kuacha kabisa kutumia akili zao inavyotakiwa.
Viongozi wa dini wamewapumbaza watu kiasi cha kushindwa kuwaza zaidi ya vitu wajuavyo.
Ningependa sisi GT tujaribu kutoa mawazo yetu na kuruhusu kujifunza zaidi.
Hebu fikiria watu wanauana kwa kigezo cha dini au siasa. Hivi inaingia akilini kweli?
watanzania bado wanapigania mlo wa kila siku na hayo unayoshuri wewe yanahitaji akili zenye utulivu na si akili za kubadili njia kukwepa madeni kwenye maduka ya wachaga na wapemba.
Tena na hii idea wanayokuja nayo wanasayansi ya kwamba dunia ni hologram, kweli inabidi tujiongeze kwenye kufikiri
Tatizo ndio hilo sijui mlo ndio kigezo kikubwa kabisa kilichowekwa na watangulizi wetu.
Ubinafsi unaiharibu dunia tunayoishi. Hatuna umoja.
Katika mkusanyiko wa sayari nyingi na nyota mbalimbali kunauwezekano mkubwa kwenye sayari zingine mamilioni kukawa na viumbe hai.
Kwakutumia formula za kimahesabu uwezekano wa kuwepo viumbe kwenye sayari zingine ni asilimia mia.
Lakini kwa utawala wa sasa wa dunia ni mbovu kiasi cha kufanya watu wasifikiri sana. Dunia imetawaliwa na siasa na dini. Watu wanajificha kwenye mgogo wa dini au siasa na kuacha kabisa kutumia akili zao inavyotakiwa.
Viongozi wa dini wamewapumbaza watu kiasi cha kushindwa kuwaza zaidi ya vitu wajuavyo.
Ningependa sisi GT tujaribu kutoa mawazo yetu na kuruhusu kujifunza zaidi.
Hebu fikiria watu wanauana kwa kigezo cha dini au siasa. Hivi inaingia akilini kweli?
Yaani tuko kama 3D picha. Tunauwezo mkubwa sana wa kufikiri ila ni kamatumewekewa gundi na kuaminishwa uongo ili wachache wafanye maamuzi juu yetu.
Kuhusu imani mbalimbali za dini.