Refrector
Senior Member
- Mar 13, 2014
- 187
- 118
habar wana jf.... jana jioni nikiwa narejea pahala nilipofikia huku rufiji nikakuta mama anamchapa mwanae wa kiume kama mfugo ikaniuma xana nikahc labda ni mtt wake wa kambo, nikataka kujua xababu ya adhab hyo....'Mwangalie mwenyewe alivyoharibika mfereji wa maji taka wote umebolewa' xo namchapa hataki mtaja mhucka mkuu....mtt wa miaka mitano tena wa kiume....imeniuma xana!!!