Dunia ilipo ni hapa

Dunia ilipo ni hapa

MGOGO27

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Posts
459
Reaction score
218
Naomba tuwe wakweli kuhusu huu usafiri japo wengi hautuhusu kwa maana hatupandagi lakini tunayonafasi ya kutia neno

1475132755606.jpg
1475132761234.jpg
1475132764403.jpg
1475132767294.jpg
1475132771890.jpg
1475132776771.jpg
1475132784012.jpg
1475132789320.jpg
1475132800549.jpg
1475132817181.jpg
 
Sijui umeelewa kinachofanyika sasa?
 
Unanunua Ndege inayoshindana mwendo na Bajaji then unajisifu mpaka Dunia nzima inajua.
 
Unanunua Ndege inayoshindana mwendo na Bajaji then unajisifu mpaka Dunia nzima inajua.
Watu hamna jema. Hivi unajua kuwa hiyo ndege zikianza safari ya kwenda mwanza na ndege ya fastjet zinatofautiana dakika 15 tu kufika mwanza.
 
Unanunua Ndege inayoshindana mwendo na Bajaji then unajisifu mpaka Dunia nzima inajua.
Ndo mwanzo ndugu yangu tutafka huko c unajua hatua za ukuaji kw mtoto,kuna kukaa,kutambaa,kucmama then kutembea huku akijfunza kuongea..
 
Kuna ndege zimewekwa hapo juu ambazo hazitengenezwi tena,sasa unalinganisha Ni hii Q400 mpya?,harafu ubora wa ndege siyo ukubwa wa umbo!,.
 
Panga boi kiasi zinakosa utulivu angani, kama umepanda panga boi for the first time unaweza sema safari ya ndege haina utulivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom