marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,106
- 1,948
- Thread starter
-
- #61
Siku kuku akijua kua analishwa ili anenepe aliwe, hakika atakimbia, same to this concept iko programmed kua denied ili isoje leta shida,Comments za wengi zinaprove ukweli uliouandika!!
Watu hawa reason wanabaki kupinga bila reasons!!
Mimi ninaamini GMO (Genetic modified seeds)zimemodify Kila kitu kutuhusu pale tulipokubali mbegu za maabara kama chakula kikuu tunachokula na kulima kila siku!!
Kifupi nakumbuka utoto wetu was miaka ya 90. Na utoto wa Leo was miaka 2000 naona Kuna vitu wanammis Hawa vijana!!
Sisi tulio kwenye industry ya elim na vijana tunaowalea tunaona tuna deal na modified robots!!
Sina tabia ya ku beza maandishi ya kiutafiti na nadharia coz Neva za seli za Bongo zetu Zina operate katika mawimbi tofauti Sana,inategemea wewe ubongo wako Una operate katika frequency zipi!!
Big up mleta mada Uzi was kufikirisha!!
Ukuwa mvivu wa kufikiria, huwezi ku question haya mambo na siku zote mtu akija kukueleza utamuona chizi ila ukweli ni kwamba akili inakua haiwezi kuhandle kuchakata hizo data unazopewa,Matomaso tu watabisha hii nikajua najua mimi tu kumbe tupo wengi tunaojua hii siri,
Kiufupi tunaishi kwenye Matrix,
Haya tunayoishi ni maisha fake sababu tupo kwenye program maalumu,
Hata hizo comment zenu za kupinga ni Illusion tu
Kama mnabisha mnajua kwanini maisha hayaeleweki?
Full complex!
Kwa pushaHivi hayo mabangi mengine mnayanunuliaga wapi wenzetu
Imagination is better than Education unafahamu hilo?kabla ya kutumia huo mmea ni vizuri ukala chakula,na ukashiba
huwa ina athari katika kufikiri na kuchanganua mambo,unaweza kuona
au kuhisi vitu ambavyo havipo( hallucination)
Hahha movie zina reality nyingi sanaBonge moja la movie hiyo. Nimeshaiona mahali
Hizi ndoto za mchana huwa ni jau kweli 😂😂😂Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo
December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio salia walipata athali kubwa sana kiafya ulemavu na ukame uli jaa sababu ardhi haikuweza kustawi tena kutokana na sumu za mabomu hayo, kufika Dec 28 1999 huku binadamu akiishikwa tabu waweza kuja wageni kuto anga za mbali(Aliens) hali walio ikuta haikua kuridhisha wakachukua jukumu la kuchukua binadamu walio nusulika wakaondoka nao na kuwapeleka huko walipo toka ili kuwatibu, na kutengeneza simulation itakayo wafanya kuwa kwenye coma huku wakiona wanaishi Duniani kama kawaida, walifanya hivyo pia wakatengeneza binadamu wengi maabala na kuwaweka kwenye coma huku waki enjoy simulation ya duniani.
Watu wemyewe ndio sisi, hapa tupo kwenye simulation walio iandaa hao alien na hakuna lilicho real, vyote vilisha potea 1999, na dunia haikaliki tena imejaa sumu.
Sawa mkuuMatomaso tu watabisha hii nikajua najua mimi tu kumbe tupo wengi tunaojua hii siri,
Kiufupi tunaishi kwenye Matrix,
Haya tunayoishi ni maisha fake sababu tupo kwenye program maalumu,
Hata hizo comment zenu za kupinga ni Illusion tu
Kama mnabisha mnajua kwanini maisha hayaeleweki?
Full complex!
Huyu bado ana nadharia ya Y2K.Inaonesha umezaliwa baada ya 1999...
Huyu bado ana nadharia ya Y2K.
Hao aliens wao wanapata au kufaidika nini for taking all that trouble ya kutufanya tuone kama tunaendelea kuishi?Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo