Dume condom,

😊😊😊
 
Kuna kondom siyo za kutumia.

Haikukubana? Maana hiyo na Salama stud zote zina mtindo wa kubana.
 
Tunasomesha,kwanza ujue,tunajenga na bado tunatunza na wazazi wetu hahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema huwa napenda kavu kwa mtu ninayemwamini na nina mda mrefu naye.Ila huwa nazitumia hizo za bei ila niliona tu nibadilishe maana huwa sina upele fulani hivi ,ukijua kukuna mwanamke na hizo ndomu huwa mwanamke alia mwanzo wa gemu mpaka mwisho na miguu yote juuuu
Haya bahna na condom za bei hamtaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime notice kitu hebu jaribu kubadilisha hio tecno yako uwe walau na samsang au huawei alaf uone kama tatizo litajirudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kawaida kondomu kusababisha muwasho. Sijui zina nini hata

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…