Mkuu hata mimi nafikiria hivyo,ila ngoja niende nikafanye tu kwanza vipimoCondom kumuwasha mwanaume, sina hakika. Nnachojua wanawake ndiyo huwa zinawawasha.
Ila kwakuwa zina expire february na leo ni december huenda zilisha expire, maaana maduka mengi hali ya hewa si nzuri joto liko juu sana. Huenda zilisha chacha.
Ngoja watumiaji wa dume waje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna matumizi ya condom na namna ya kuitumia condom.
Au yawezekana mafuta ya ndom hiyo si rafiki kwa ngozi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa ,sasa mkuu kupiga kavu kwa siku ile ingekuwa tayari kutunga mimbaSijawah kuona utamu wa ndom kwenye sex
Kama ni chumbani kwako nunua hata K-Y ndo iweke ndani!..Sometime lublicants muhimu kuziongezea engine parts!..
We jamaa acha kumtisha mwenziondo basi tena mtoa mada ameshaukwaa
Wala hawezi kunitisha,najua binadamu tunaogopa sana ngoma, ila afya yangu ni muhimu sana hata kabla ya kupatana na mwanamke uchunguzi ni namba moja.magonjwa mengine tunatibu wala sina shaka kwa hilo mkuu
Sawa nenda hospital mkuu ila sidhani kama utapimwa Urine culture km hawajapata tatizo kwenye Urine Analysis!Habari wakuu,
Wakuu naombeni kama nitawakwanza maana upande wa pili huwa hawapendi kutumia kinga ila siyo wanawake ila upande wa pili,
Ni siku mbili toka nitumie hii kinga maana shemeji yenu alikuwa kwenye hatari ( najua wakubwa mnajua)
Sasa toka nitumie hii kinga yaani nawashwa dudu balaaa,fangasi sina.
Ila tatizo ni kuwashwa tu alafu najikuna balaa, nimejaribu kuangalia expire date ni February
Au ni gono tayari maana najua kuna magonjwa ya gono hata ukivaa kinga huwezi kulikwepa,alafu ni mwanamke ambaye nina matarajio naye,
Sasa nimepanga kufanya vitu vitatu,
1.naenda kucheki gono au kufanya culture nikipatikana na tatizo huyu mchumba kwa heei
2.Kama ni fangasi nitatibu
3.kama hamna tatizo naenda kuwashtaki hii kampuni.
Wakuu poleni kama nitawakwaza ila pia wapo kama mimi labda wanatumia dume condom,vipi na nyie hii hali inawapata?
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Niliwai tumia dume daah sitokuja jaribu tena bora nipige kavu tuu ..nilitoka na jipele kubwa ilo daah sio powah
Sawa nenda hospital mkuu ila sidhani kama utapimwa Urine culture km hawajapata tatizo kwenye Urine Analysis!
Labda una U.T.I
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaoge huo muwasho utaisha.Habari wakuu,
Wakuu naombeni kama nitawakwanza maana upande wa pili huwa hawapendi kutumia kinga ila siyo wanawake ila upande wa pili,
Ni siku mbili toka nitumie hii kinga maana shemeji yenu alikuwa kwenye hatari ( najua wakubwa mnajua)
Sasa toka nitumie hii kinga yaani nawashwa dudu balaaa,fangasi sina.
Ila tatizo ni kuwashwa tu alafu najikuna balaa, nimejaribu kuangalia expire date ni February
Au ni gono tayari maana najua kuna magonjwa ya gono hata ukivaa kinga huwezi kulikwepa,alafu ni mwanamke ambaye nina matarajio naye,
Sasa nimepanga kufanya vitu vitatu,
1.naenda kucheki gono au kufanya culture nikipatikana na tatizo huyu mchumba kwa heei
2.Kama ni fangasi nitatibu
3.kama hamna tatizo naenda kuwashtaki hii kampuni.
Wakuu poleni kama nitawakwaza ila pia wapo kama mimi labda wanatumia dume condom,vipi na nyie hii hali inawapata?
Sent from my TECNO F3 using JamiiForum mobile app