Dume Challenge

EagerBee

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
34
Reaction score
0
Habari wanaJF,kiukweli hiki kipindi kinachorushwa na ITV cha dume challenge nakipenda xana kwani kinaonyesha sifa za mwanaume wa Kweli.Kitu kinachonitatiza ni wale washiriki walitoka ina mana si wanaume wa kweli na hawatumii dume?naomba msaada wanandugu
 
Sisi tunaangalia kama wewe, tutajuaje?
 

hapana, wale ni wanaume pia. lakini hii ni challenge, haimaanishi mwanaume akitoka katika shindano basi hana sifa ya kuwa mwanaume na hatumii dume.
Tusifananishe challenge na maisha halisi, katika challenge kila tukio linaandaliwa lakini katika maisha hakuna maandalizi, maisha yanakuchapa muda wowote.. you have to be ready at all times, nadhani hata wewe unafahamu kwamba kuna wanaume waliopitia mambo magumu humu duniani kiasi kwamba hao wa dume challenge wanacheza tu.
kwa hiyo hata wanaotolewa katika shindano ni wanaume pia, mwisho wa siku tukumbuke kwamba haya ni mashindano tu, cha msingi ni kujiuliza wanaume hao na sisi tunaotazama tumejifunza nini kupitia shindano hilo.
 
ndo maana linaitwa TANGAZO LA BIASHARA KAMA MGANGA NA HELA ZAMAJINI,N.K UTUMBO MTUPU.SHETWANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…