The tolerance 1
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 404
- 517
Duka linauzwa kwa bei ya Tsh 1.4m, lipo Dar, kwa mawasiliano zaidi piga 0676338052.
Asante mkuu, duka lipo Tabata Senene, bei ya frem ni laki Moja kwa mwezi.Toa location ndugu Dar ni kubwa ili iwe rahisi watu kufahamu. pia na bei ya fremu kwa mwezi
Tabata seneneDar maeneo gani
Kodi ni laki Moja kwa mwezi mkuuIyo pesa ni na kodi ya miez mingapi ndani yake?
Kodi ni shs ngapi na bado muda gani?Tabata senene
Kodi ni laki Moja kwa mwezi, na inaisha mwezi huu wa pili mkuu.Kodi ni shs ngapi na bado muda gani?
Ndo hapo na mimi nashangaaTatizo hizi mangi duka ikiwa safi safi watu hawafiki kununua kwa wingi. Ikiwa chafu chafu ndio wanapenda sasa
Ndugu, usiongee usilolijua, ndio maana tumeweka namba ya mawasiliano kwa anayehitaji atapiga apewe maelezo zaidi.Kwa uvivu wako ndio maana hiyo biashara imekushinda