Nauza vipodozi vyote vilivyomo katika duka kwa bei ya jumla na ninatoa discount ya 5% ya mzigo wote.Unauza lote tuuh au kmoja kimoja ?
Nauza vipodozi vyote vilivyomo katika duka kwa bei ya jumla na ninatoa discount ya 5% ya mzigo wote.
Thamani laweza kurange 5-6 Mil na lipo Tabata Kinyerezi njia panda(MBUYUNI)Mkuu lina thamani ya kiasi gani, na je lipo upande wa zile kota au huu mwingine
Thamani laweza kurange 5-6 Mil na lipo Tabata Kinyerezi njia panda(MBUYUNI)
Unaangalia barabarani mkuuMbuyuni upande wa kuangalia barabara ya lami au unaingia ndani kidogo, ni karibu na kwa makadala au huku gereji
Is it a criminal to mention selling price?Wasalaam,
Waungwana ninauza duka la vipodozi kwa bei ya jumla, duka lipo eneo zuri kibiashara na huhitaji kuongeza chochote.
Duka lipo TABATA-Kinyerezi njia panda ya Tabata Kinyerezi na majumba sita na linatazama barabarani, na nitatoa discount ya 5% kwa mzigo wote uliomo dukani na samani zake. Ninaliuza kwa kuwa natarajia kuwa masomoni ughaibuni nitashindwa kulihudumia.
Anayehitaji tafadhali anaweza kuja PM tukazungumza
Hapana,uje pmIs it a criminal to mention selling price?
SHARMA kwamba unahitaji mzigo wa 2 Million au?2 millions tafadhali
Napatikana maeneo ya Tabata Sanene mkuuUpo maeneo gn mkuu