Duka la vifaa vya umeme linauzwa

Duka la vifaa vya umeme linauzwa

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Habari wakuu, nauza duka la vifaa vya umeme, vipo vya Bomba na ujenzi pia.
Pia nitakuuzia shelves, kabati ya display pamoja na Meza.
Vyote nauza jumla kwa 5 mill only.
dbc51214bac50f7ca163c6d101666fce.jpg
 
Habari wakuu, nauza duka la vifaa vya umeme, vipo vya Bomba na ujenzi pia.
Pia nitakuuzia shelves, kabati ya display pamoja na Meza.
Vyote nauza jumla kwa 5 mill only. Duka lipo Goba.
Contact 0713196055
dbc51214bac50f7ca163c6d101666fce.jpg
Kwann unauza mkuu vp biashara ipo?
 
Biashara ipo mkuu, sababu ya kuuza Nina biashara Zingine zinainvolve safari zinanikeep busy
 
hauna hata ndugu tu akusimamilie,au unataka kututapeli?
u'busy ukufanye uuze duka akati ni chanzo pia cha mapato?
u cant be serious...
 
Sasa nikutapeli nn? Yes Nina biashara Zingine nataka niconcentrate sehemu moja .
 
Habari wakuu, nauza duka la vifaa vya umeme, vipo vya Bomba na ujenzi pia.
Pia nitakuuzia shelves, kabati ya display pamoja na Meza.
Vyote nauza jumla kwa 5 mill only. Duka lipo Goba.
Contact 0713196055
dbc51214bac50f7ca163c6d101666fce.jpg
mkuu lipo goba sehemu gani?
 
Biashara ipo mkuu, sababu ya kuuza Nina biashara Zingine zinainvolve safari zinanikeep busy
Kwanini usiweke MTU akakusaidia au muwekeanae Mkataba kwamba aendeshe hilo Duka kila mwezi akupe kiasi flan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom