Pia misumari nyundo makofuli nk kweli mangi noma!
Tape measure,tupa,pima maji......etc
Mchele, nyanya, unga, nazi, maharagwe, njegere, choroko, vitunguu, pads, diapers, leso, sabuni, chill and tomato sauce, soda, beers, wine, mafuta ya kula, mafuta ya taa, bamia,vitunguu, kandambili, viatu, uzi,kitana, chanuo,viosheo vya vyombo, vim, chupi, nguo,katani, mshipi, miswki, dawa za meno, panadol, perfumes, sprays, sumu ya panya...... yani vikolokolo vyote... Duka la Mangi.... wengine wauze nini...!
umesahau mbolea, mnyororo wa mbwa, pembejeo za kilimo, daftari, kadi za harusi, birthday nk
Mitego ya panya,kengere za ng'ombe etc
Mchele, nyanya, unga, nazi, maharagwe, njegere, choroko, vitunguu, pads, diapers, leso, sabuni, chill and tomato sauce, soda, beers, wine, mafuta ya kula, mafuta ya taa, bamia,vitunguu, kandambili, viatu, uzi,kitana, chanuo,viosheo vya vyombo, vim, chupi, nguo,katani, mshipi, miswki, dawa za meno, panadol, perfumes, sprays, sumu ya panya...... yani vikolokolo vyote... Duka la Mangi.... wengine wauze nini...!
Mamaaaaa mbavu zangu eeehhh!!!! unaniua kwa kucheka yaani wee acha "KENGERE ZA NG'OMBE"