Duka la mahitaji ya nyumbani

vibatar

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
57
Reaction score
16
kwanza kabla ya yote nitangulize salamu kwa member wote...! leo nimeleta changa moto yangu nikiwa na imani ya kupata uvumbuzi kipindi kirefu nilikuwa nikitamani kuanzishaa ya duka la mahitaji ya nyumbani ...nimejichangaa nikapata ml 3 je naweza kufungua ikatosheleza ! asante
 
Ww umeshasoma yote ..ungemuelezea kwa kifupi hayo madini .... tatizo na ww n mvivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…