Duhh hii ni hatari

Hjaakosea mwenye pikipiki mambo ndivyo yalivyo,na ndio maana kasi ya matumizi ya dawa za mchina inaongezeka mijini kwa sababu shepu na sura ndio habari ya mjini.
 
Kuna wengine wana wake wenye maumbo na sura mbaya, na nyumba ndogo zao ndio wana misura na maumbo mabaya kabisa
 
sure! this is real, ndo maana mjini ishu ya kudumisha ndoa hadi kifo, si ya msingi
 
Eti Kwamfano umekwenda Dukani na elfu kumi kununua sumu ili ujiue kuna haja ya kusubiri chenchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…