huu uzi haunihusu........ hali yangu kiuchumi kwa sasa ni ngumu sifanyi matumizi yasiyo ya lazima
bia
music
nguo mpaka zilizopo zichoke
nakwenda na msosi wangu kazini toka home(kuna friji na kipashio)
kama ni ummbali unaotembeleka natembea .....................
until further notice