Duh!!.....Yamenikuta leo!

Mimi nipo hapa mkuu najiandaa kuja kazini .nilijikuta
nimeshikwa na tumbo la ghafla la kuha.....ra.
Mkuu nipo salama ila tumboni nahisi kama cheche zinawaka.
Nimeshauriwa nile Amila kijiko kikubwa kimoja na chai ya Iriki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…