Duh! Wamelipa Kodi kweli hawa ?

kawaulize TRA.. Unatujazia server tu
 
Mi sioni ishu hapo! Kwani mangapi yanatokea chini ya serikali dhaifu yenye uongozi dhaifu? LIWALO NA LIWE BANA! EBOO!
 
Si unajua hii ni serikali gani? Basi jibu unalo!! Utajua wamelipa au hawajalipa ukiijua serikali yenu ikoje!!
 
Ata kodi ikilipwa nani ananufaika au ni ujinga wako tu, na kama haijalipwa na mtu amepewa mali yake jibu unalo serikali DHAIFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…