Duh!!, Safari ni safari!

Hy kali mkuu!! Ila co mbaya safari moja huanzisha nyingine!!
 
mnh!!! wajameni hii ni fiksi moja kali saaaana duh!!! hata kama wanasifika kwa mambo yaleeee...ila kwa hili hapana hapana hapana aisee!!!

Kama Mzee wa Sumba anaweza akatundika koti hewani na lisianguke itakuwa hiyo ya bajaj kuvuta fuso?
 
Kwanini bajaji asimbebe prado?
 
Maofisa wa Ubalozi au UN nao wana biashara ya vibajaji si mchezo bongo....maana hizo namba ni za UN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…