Duh..kuwa single ni shiiiiiidah

Hahhahahahahaha

Aibu tena?...mwambie baridi linakutesa,umemmiss na unataka mpododo

Yataisha b4 u knw t

Hahahhaaaa, na vile alivyonuna...?
Asije kunipa jibu zito bure...ngoja nimuache apumue kwanza...!
 
Hahahhaaaa, na vile alivyonuna...?
Asije kunipa jibu zito bure...ngoja nimuache apumue kwanza...!

Unadhani atakataa kuckia unataka mambo?

Sisi wanaume tunalainika sana wen t camz to dat...

Its gud wen u hear ur other half z thnkn of u n anataka mambo
 
Unadhani atakataa kuckia unataka mambo?

Sisi wanaume tunalainika sana wen t camz to dat...

Its gud wen u hear ur other half z thnkn of u n anataka mambo

Nitamwambia...loh..
Manake nimemmiss hatariii!

Nlikuwa siamini zile stori za "Usiku silali nakuwaza wewe" Kumbe kweli...!
 
Ntajitahidi...akijifanya mbishi nitamtafuta MziziMkavu anifundishe kutengeneza limbwata la mjusi..
Tena itabidi umtafute yule mjusi kafiri...........Awe kama huyu hapa chini..............




tunamuuwa na kisha unampika awe mtamu kisha unampe shemeji yangu kwenye chakula basi hakutoki huyo atakupenda na kuwa ni mjinga kimapenzi kama alivyo huyo mjusi ........:A S wink::cool2::A S 11:
 

Hehehehhe wanakuwaga na sumu hawa
 

Nakuaminia sana.... Yani hiyo inaitwa hatoki mtu hapa...
Sasa ngoja nijaribu formula one, ikigoma itabidi limbwata lihusike...

Halafu hao mjusi si wanapatikana kwenye mawe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…