Me nipo hilo la single but occupied..lol
Na wewe upo kundi gani?
Singo nayoimaanisha hapa ni ile yani mtu hauko kwenye ndoa official...hata wale single but occupied mnahusikaaa...
Yani na kipupwe hiki, mtu uko peke yako kitandani, halafu usingizi umegomaaa....
Unaweza kuitamani ndoa ghafla...its like mliooana mnafaidi mweeee!
cc; Popo woteeee
Hongera zako...duh jamaa yupo mbaliii n ts like kanichunia.....nilimvuruga kidogo.
Mtt wa watu umekaa kitandani pk yako unawaza mpododo
Hahahaaaa, sio mpododo bwana...just nawaza tu ningekuwa nimejikunyata kifuani kwa mtu saa hizi, hata kama nisingekuwa na usingizi basi ningeliwazwa na sauti yake ya kukoroma...loh...
Waswahili wanasema wawili ni wawili tu...!
Haya bwana ntaongea nae.
Halafu ubavu wa kumnyima sina...nampenda sana.
cc; Daktari.
Hahahaaaa, huo tena utakuwa muendelezo...
Ila walau baridi litaniachaaa!
Ndoa muhimu wallahi....!
Just vijimambo tuuu...!
Si unajua tena mikwaruzano ipo...ndo nimememkwaruza, nimemjeruhi docta wangu..!
Ongeza juhudi sasa jamaa afanye commitment uwe na uhakika wa kutopigwa baridi
Ntajitahidi...akijifanya mbishi nitamtafuta [MENTION=12367]Mzizimkavu anifundishe kutengeneza limbwata la mjusi..
Mhh, naogopa sijui hata nimuanzaje....sipendi kumkwaza ila ndo hivyo it happens...
Yani naona hadi aibu kumbembeleza...