Wiki moja ina siku 7,
Shule ya msingi madarasa 7,
Huu ni mwezi wa 7,
Tupo msimu wa sabasaba,
Brazili wamefungwa 7,
Game imeisha saa 7,
Mathayo 7:1 inasema" na iwe hivyo kwa wenyeji wapewe vipande saba vya mkate ili mgeni apewe kimoja, kwa maaana bwana anataka tuwe wakarimu kwa wageni,
Amen