habar wadau!!!! Npo kweny bas nasafr, nyuma yang wamekaaaa mtu na mpenz wake mara simu inapigwa kweny cm ya mwanamke na mwanaume anachukua cm ya mwanamke na kuipokea, hallow ww nan??? Upand wa pili unanijib naomba kuongea na mweny cm,jamaaaa akajib mm ndo mwnyw cm niambie ww ni nan??? Jamaaaa upande wa pili kuona mwanaume anamjib kiukal akaamua kujib, sorry nime wrong number!!! Acha jamaaaaa aanze kumtukana mshikaj, abiria tukashikwa na mshangao kusikia matus ya nguon yanazid!!! Baada ya matus jamaa anamgeukia mwanamke na kumuulza, unamfaham huyu mtu?????mwanmke anajibu, hapana cmfaham kabisaaaaaaaa!!!! Bdo ugomvi unaendelea hapa wa chinchin!!!!! Tafadhal usijipe pressure kwa kupokea cm ya mkeo au mumeo