no mtoto jamani hana kosa hivo hako kabinti oneni na vibuti vyake kichwani katakumbuka kumwambia naomba helmet ,bado kana akili za kitoto jamani mpaka soksi kamevalishwa na gauni kauhurumieni muuaji ni huyo jamaa ambaye anaendesha pikipiki bila kujua hatari na madhara yake yaani ningekuwa maeneo haya ningekuwa wa kwanza kumpeleka polise na mbaya zaidi namba zake hata ukienda report police sijui kama atapatikana